Nyoka mwenye makengeza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 870
- 780
Hahahahaha kudadeki kuna mtu tayari kaumia hapa
Jamaa kaona dp mtoto mkali kwenda live kakutana na gubegube [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha kudadeki kuna mtu tayari kaumia hapa
Alibakia kidogo ajifieJamaa kaona dp mtoto mkali kwenda live kakutana na gubegube [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa "..Hawajui kabisa JF ni nini
Kakutana na makengeza[emoji1787][emoji1787]Alibakia kidogo ajifie
Kawaida yenu slay queens
Eh Mungu baba naomba umsamehe mtu huyu maana hajui alinenalo
Kumbe una makengeza[emoji1787][emoji1787]
Ungevaa miwani ya jua ulipokutana nae
Kwani wew makengeza kweli au?Mimi sihitaji miwani ya jua najiamini na kujibali jinsi nilivoumbwa namtukuza Muumba wangu kwa kweli. Kwahyo kunguru akipiga kelele I don't care.
I love my makengeza
Cheichei[emoji112] [emoji112] [emoji112]Mi sio slay queen my dear, mi tandale sweetheart
Cheichei[emoji112] [emoji112] [emoji112]
Kwani wew makengeza kweli au?
Mbona huitikii salama[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaaaaa
Sura kma ilokanyagwa na trailer hhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] .Sio makengeza tu sioni na vimacho vya mchina na sura mbovu yani sina mbele wala nyuma mkuu. Una swali lingine?
Sura kma ilokanyagwa na trailer hhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Ntakosaje maswali kwako ukiniruhusu tu.
Mbona huitikii salama[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unaweza kuitikia kma nilivyokusalimia.Siifahamu hyo salamu
Si ya chei cheiUnaweza kuitikia kma nilivyokusalimia.