cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Hahaaaa Mimi hata siwa diss mkuu nawaheshimu nawapa changamoto Niko very normaljinsi unavyowadis wanaume wa jf,.. sina maana mbaya madam
Hahaaaa Mimi hata siwa diss mkuu nawaheshimu nawapa changamoto Niko very normaljinsi unavyowadis wanaume wa jf,.. sina maana mbaya madam
Hahahaha, raha ya kibuti ukikubali ndio kinapendezaKweli. Ukimpenda mtu ukitaka muwe marafiki usiweke mapenzi mtadumu. Tatizo 80% ya wanaume wanakutanaga na wanawake kwa lengo la kunyanduana. Mimi nilioonana nao ilikua kwa ajili ya urafiki. Nashukuru tuko marafiki na tunaheshimiana vizuri kabisa. Waliotongozwa wakakataliwa wamekubali ukweli maisha yanasonga. Waliovumilia sura yangu mbaya wapo tuko marafiki mpaka sasa. Kikubwa ni kuangalia huyu anaandikaga nini. Kuna uhusiano mkubwa sana wa anachokiandika mtu huku kuhusu wengine na alivyo nje. Wale watu wa kudis dis kila kitu hata nje ya hapo atadia tu
Kwanini ukimbie mkuu, vtu vingine huwa ni changamsha genge Mimi husoma comments za MTU na kupata maarifa ya appearance, sijui nimuwazie yuko vzuri kiuchumi huwa siyapi nafasikuna Yule anajiita Madame B daah aseee .ukija kumwona daaah waweza kimbia
Halafu wewe hiyo avatar inaweza kuangusha hadi wenye hekima kama sisi
hauwezi kuanguka mkuuHahahaha, raha ya kibuti ukikubali ndio kinapendeza
Mbwembwe nyingi kumbeee ..Na ndio inatakiwa hivyoNa mnakua washkaji kabisa. Wengine tunawapenda hatutaki kuwapoteza ndo maana hatutaki nao mapenzi...
Hahahaha, muwakaushie wakuuKuna mmoja humu![]()
![]()
Mbwembwe nyingi kumbeee ..
Vyote vinavyokujenga kama mwanadamu wa pekee!Inategemea unatakaa kuangalia nini
Kuna mmoja humu![]()
![]()
Mbwembwe nyingi kumbeee ..
Vyote vinavyokujenga kama mwanadamu wa pekee!
asante mrembo CathHahaaaa Mimi hata siwa diss mkuu nawaheshimu nawapa changamoto Niko very normal
hahahahaaaa....acha uwoga ..nimekusomaBosslady Klyn mkuu.. mie naganga njaa kama wengine tu
Mi naagiza vya beiyes,ni kweli...agiza kinywaji kwa bill yangu
Hujamuelewa tu?kakumbana na@Kuwa mpole kwanza....tuambie kimekusibu nini mkuu
Sasa si uweke sura yako halisi ili watu wakujue ulivo kuliko kubabaisha na avator za uongoHahaaaa makubwa haya hivi unavutiwaje na avator ya mtu eti ndo upendo kah kwani mtu akiwa na hyo sura kajiumba yeye si ndo alivozaliwa you can't change it umba wa kwako mzuri, mi ndo mana hushangaa watu humu anataka akuone sura na picha ili iweje. JF ni mtandao mzuri ukiutumia positive wengine tumekutana na watu humu twaheshimiana no utoto sijui sura, status tumekuwa wote Mengi.
hahaha,kwani kuna vya bure??? hata karanga zina bei yake... fungukaMi naagiza vya bei
Hahahaha, huwa vikoje vya beiMi naagiza vya bei