A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,039 Sep 4, 2015 #81 Evelyn Salt said: Katika vitu vya kuavoid kwenye mahusiano ni marafiki kuwashirikisha mambo ya mahusiano, misunderstandings na kuwaomba ushauri marafiki hawafai Click to expand... Hayo mmejifunza toka lini?
Evelyn Salt said: Katika vitu vya kuavoid kwenye mahusiano ni marafiki kuwashirikisha mambo ya mahusiano, misunderstandings na kuwaomba ushauri marafiki hawafai Click to expand... Hayo mmejifunza toka lini?
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Sep 4, 2015 #82 asakuta same said: Kuna wanawake wanakuwaga na akili mbovu sana mpaka kuharibu kizuri kilichotokea chema. Kwa upuuzi huu wacha tu na wanaume nao waendelee na yao. Ukiona inafikia mahali unaona awepo asiwepo haina ishu kwako basi jua ndiyo akili ishavurugwa. Click to expand... Okay sawa
asakuta same said: Kuna wanawake wanakuwaga na akili mbovu sana mpaka kuharibu kizuri kilichotokea chema. Kwa upuuzi huu wacha tu na wanaume nao waendelee na yao. Ukiona inafikia mahali unaona awepo asiwepo haina ishu kwako basi jua ndiyo akili ishavurugwa. Click to expand... Okay sawa