asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Katika vitu vya kuavoid kwenye mahusiano ni marafiki
kuwashirikisha mambo ya mahusiano, misunderstandings na kuwaomba ushauri
marafiki hawafai
Hayo mmejifunza toka lini?
Katika vitu vya kuavoid kwenye mahusiano ni marafiki
kuwashirikisha mambo ya mahusiano, misunderstandings na kuwaomba ushauri
marafiki hawafai
Okay sawaKuna wanawake wanakuwaga na akili mbovu sana mpaka kuharibu kizuri kilichotokea chema.
Kwa upuuzi huu wacha tu na wanaume nao waendelee na yao. Ukiona inafikia mahali unaona awepo asiwepo haina ishu kwako basi jua ndiyo akili ishavurugwa.