Majuto ni mjukuu

Majuto ni mjukuu

Inaonessha marafiki zake walionea wivu ndoa yake wakamjaza ujinga kichwani sasa anajuta.

Jamaa aendelee na maisha yake sema inabidi awe anaenda kumchukua mwanae Patrick mara mara hili apate malezi ya baba.
 
asante mkuu kwa ushauri huu na wengine wajifunze
 
Mmmh kwani ule usemi wa "za kuambiwa,changanya na zako" huwa watu wanafikiri ni utani? Mahusiano ni ya wawili mkiruhusu mtu wa tatu aingilie ndio kwisha habari yenu, wanawake huwa muda mwingine tunakuwa kama tumerogwa!! Kuna muda tunawaamini marafiki hadi ktk mambo ambayo hawatakiwi kuyajua kabisaaa, na kujifanya kusifia sifia wapenzi/waume zetu mbele ya wanawake wenzetu, si kila mtu anafurahia mahusiano uliyonayo, so chunga sana.
 
wengine hadi kiasi cha hela kilichopo bank anawaambia mashoga zake
 
Ni upumbavu na ulofa wa hali ya juu, yanawakuta wegi ila sijui kwanini hatujifunzi, hii midomo yetu nayo inabidi itengenezewe speed gavana kwakweli.
 
wengine hadi kiasi cha hela kilichopo bank anawaambia mashoga zake

Kwa kupitia maneno machache ya kiswahili kwenye thread na michango ya watu humu nimeelewa kwamba story ni ni nzuri na inafundisha.

Ila kwenye kiingereza duh, labda nipate mkalimani. Natamani nikuombe unitafsirie eeh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom