Majuto ni mjukuu

Watoto(munira, laurence ,paulina ,john na jose),kila wikiend wananiuliza baba Mac yuko wapi

Mwanamke una watoto watano, na bado unamkimbia mume? Lol, bidada alipatwa na mapepo
 
Watoto(munira, laurence ,paulina ,john na jose),kila wikiend wananiuliza baba Mac yuko wapi

Mwanamke una watoto watano, na bado unamkimbia mume? Lol, bidada alipatwa na mapepo
hao wengine ni watoto wa ndugu za upande wa mke... wao walibahatika kupata mtoto mmoja tu
 
Sijaelewa anachokitaka exactly, anataka kurudi? Anaomba tu msamaha? anamkumbuka jamaa kwa ajili ya watoto? Amesalitiwa na rafiki zake? Au kakumbuka mali za jamaa like prado, IST n.k? huyu bado ana tamaa na hajitambui.

Aje nimsaidie kwanza
nahisi kajaribu nje huko ajakutana na mwanaume kama baba patrick
 
Ni powa sana ili wengine wajifune kweli what's goes around comes around
 
Kuna baadhi ya mashosti hawana ushauri mzuri haswa wanapoona maisha yako mazuri kuliko wao......usipende kuwaeleza mashoga maisha yenu yalivyo wanatafuta mbinu za kuharibu.....pole zake kukubali yaishe kwa sasa ni somo kwa wengine
 
U will only notice the importance of a second hand when u loose it. Ukiwa nayo yote miwili unaichukulia poa tu. Inaonenaka bi dada alikua anamchukulia kwenye low profile Mac. Kampoteza ndo anagundua umuhimu wake.

Its just too late for her to catch the web. Mac has already moved on. Ajipange tu kivingne. Next time ajifunze kutowasimulia issue zake mashoga.
 

mmmmh! mara naona nyotanyooota mara mbalamwezi... oooiii siina muuda!
 
NI KAMA UNANIELEZA MIMI...... LKN NIKUSHAULI TU , USIPOTEZE MUDA MAADAMU UMEGUNDUA KOSA NI LAKO AIDHA UNAKIRI Hapo KABLA MUMEO ALIKUPENDA NA HATA ULIPOANZA KUBADILIKA HAKUCHOKA KUKUSHAULI. ANZA KWA WAKWE ZAKO NENDA BILA KUSITA TAFUTA WAZEE WA KANISA ONGEA NAO NA IKIBIDI ONGOZANA NAO , ni wewe uliyeharibu nenda popote pale panapomuhusu mumeo nenda kawaangukie. MUNGU ATAKUSAIDIA .
 
love is messed up...u just don't know what you have till u loose it.nilimess up with my ex,took her for granted but the moment she left ndo nikagundua what an I.diot I was.Nina familia sasa but she still holds a part of my heart....how I miss her
 
Kuna wanawake wanakuwaga na akili mbovu sana mpaka kuharibu kizuri kilichotokea chema.

Kwa upuuzi huu wacha tu na wanaume nao waendelee na yao. Ukiona inafikia mahali unaona awepo asiwepo haina ishu kwako basi jua ndiyo akili ishavurugwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…