miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
-
- #21
muhimu ni kuto kuruhusu majuto zaidiHii methali miss chagga inawahusu wengi sana.. Daah hata mie inanihusu sana hii.. Kuna mambo ambayo m regretting very much but its too late..
ndiyo hivyo mashoga wakamfanya akimbize mume kazi kweli kweliYani marafiki ndo wakamshika masikio kiasi hicho?pole zake
hilo umeamua wewe na wana ccm ,,... ila ukawa tutamchagua lowasa...watanzania wengi tumeshaamua, hatutamchagua lowassa
ndiyo hivyo mashoga wakamfanya akimbize mume kazi kweli kweli
hilo ni kosa kubwa aiseeeKatika vitu vya kuavoid kwenye mahusiano ni marafiki
kuwashirikisha mambo ya mahusiano, misunderstandings na kuwaomba ushauri
marafiki hawafai
asante mkuu kwa ushauri huu na wengine wajifunzeInaonessha marafiki zake walionea wivu ndoa yake wakamjaza ujinga kichwani sasa anajuta.
Jamaa aendelee na maisha yake sema inabidi awe anaenda kumchukua mwanae Patrick mara mara hili apate malezi ya baba.
Waione dada zangu Honey Faith, Khantwe, Heaven Sent, atoto, cute b, missyrose na Heaven on Earth!!! ujumbe, ukishikwa shikilia....
Waione dada zangu Honey Faith, Khantwe, Heaven Sent, atoto, cute b, missyrose na Heaven on Earth!!! ujumbe, ukishikwa shikilia....
wengine hadi kiasi cha hela kilichopo bank anawaambia mashoga zakeMmmh kwani ule usemi wa "za kuambiwa,changanya na zako" huwa watu wanafikiri ni utani? Mahusiano ni ya wawili mkiruhusu mtu wa tatu aingilie ndio kwisha habari yenu, wanawake huwa muda mwingine tunakuwa kama tumerogwa!! Kuna muda tunawaamini marafiki hadi ktk mambo ambayo hawatakiwi kuyajua kabisaaa, na kujifanya kusifia sifia wapenzi/waume zetu mbele ya wanawake wenzetu, si kila mtu anafurahia mahusiano uliyonayo, so chunga sana.
ha ha ha chezea prado weweMarafiki wabaya kwenye uhusiano wa watu wawili..halafu ilivyaoanza bado nusu nilie,ila ilivofika kwenye Prado nikacheka kidogo.
wengine hadi kiasi cha hela kilichopo bank anawaambia mashoga zake
ha ha ha chezea prado wewe
wengine hadi kiasi cha hela kilichopo bank anawaambia mashoga zake
Ni upumbavu na ulofa wa hali ya juu, yanawakuta wegi ila sijui kwanini hatujifunzi, hii midomo yetu nayo inabidi itengenezewe speed gavana kwakweli.
huyu hana lolote amekumbuka prado ya mshikaji!