Majuto ni mjukuu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
754
Binti wa watu katendwa vibaya kwa kweli kupenda ni hasara tu...

Attachments

  • najuta.jpg
    34.7 KB · Views: 541
mbona umeongea kwa mafumbo, kuna nini hapo kwenye hiyo picha
 
El Toro, najua hujatupa kisa kamili hebu tupemistari kidogo
Unajuta nini umeambukizwa ngoma
au umefumaniwa ukaachika?
 
naona ana pete ya uchumba then kama mwilini kwa juu hana kitu..kalazimishwa kubanjua ile amri nini then majuto ndiyo yamewadia pole....
 
halafu mbona mdada ana vipele vingi sana usoni kulikoni? alijaribu za kichina nini?
 
si ungetoa full picha mpaka miguun!ili tujue kweli katendwa?
<br />
<br />
kwani miguu inadhihirishaje ukweli? Dafi we sema bwana unataka kuuona uzuri uje um pm eltoro akuunganishe.
 
Hebu tjujaribu kutabiri nini kimetokea kwenye hiyo picha kwa maneo yasiyopungua 30 atakaepata namtumia dola 2 kwenye simu yake
 
huyu ni nani,na ni wapi mbona kama picha ya zamani....toeni maelezo kamili hatuelewi....
 
si ungetoa full picha mpaka miguun!ili tujue kweli katendwa?
mkuu katafute kitabu kinachoitwa "The call of the wild". avatar yako inanifurahisha sana and i end up reading the said book because therein is where a truly friendship between man and dog is described. once again i salute
 
Ntakitafuta bosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…