Majumba ya kifahari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majumba ya kifahari

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mutensa, Jul 16, 2009.

 1. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mwenye picha za majumba ya kifahari yaliyopo bongo azirushe hapa. Zaweza kuwa za ndani au nje, jikoni, bavuni, sebuleni, canopy zake, mapaaa, garden, design ya tiles zake, sweeming pools, etc. Zitatusaidia kuigizia katika ujenzi.
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Manji's home in Upanga DSM

  Photos deleted
   
  Last edited: Jul 16, 2009
 3. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Hazijatokea hizo picha..please attach vizuri mkuu
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Belinda,
  Sorry kumbe nyumba yenyewe si ya Manji ni uongo wa watu. So nimezidelete picha. Am sorry.
   
  Last edited: Jul 16, 2009
 5. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  mi sizioni
   
 6. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kwakweli sijaziona na nimesubiri mpaka mtu mwingine aangalie na kujibu, mkuu Obhusegwe nae hajaona kama alivyoandika hapo juu..
  Ziweke tena mkuu!
   
 7. K

  Kosmio Senior Member

  #7
  Jul 16, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweli picha hazionekani.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
 9. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tukishaweza hizo picha za majumba ya kifahari ndio iweje?
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Huyu mtu katupa link directly kutoka kwenye email yake ya yahoo, bila ya kujua kuwa kwa sababu picha zipo katika email iliyo password protected hatuwezi kuziona.

  Siku zingine utatoa link za email washashi wataingia mpaka kwenye inbox yako mwanangu.

  Download hizo pics kwenye computer yako, halafu zi upload hapa.Usiniambie hujui kudownload utadownload vipi na ku upload uta upload vipi.
   
 11. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sintoshangaa kama mhusika katuwekea picha za nyumba inayosemekana ni ya Gen. Musharraf, miaka miwili nyuma kulikuwa na email inazunguka sana kila mtu anaweka kichwa chake cha habari kadri anavyojisikia wengine walisema ni ya Marehemu Daudi Balali (iko Belgium) wengine wakadai ni ya Manji na wameiona kwa macho yao hapo Upanga.

  [​IMG]
  [​IMG]

  Picha zaidi ziko hapa

  Thread ambayo ilijadiliwa iko hapa
   
 12. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Aisee,
  Kumbe jamaa walikuwa wanatudanganya! Sikujua hilo, nilidhani ni kweli. Am so sorry for that.
  Basi tena nazifuta hapa.
   
 13. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nilidhani mimi tu. Mkuu picha hazionekani, navinjari kwa simu sasa hivi labda nitajaribu kwa computer kesho. Wakati mwenye majumba zaidi aturushie, mie naahidi pia kuwatumia kesho.
   
 14. Kamjingijingi

  Kamjingijingi JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Hata mie pia sioni
   
 15. Kamjingijingi

  Kamjingijingi JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  ]nimeona moja tu!
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Bado nasubiri picha za majumba ya kifahari Bongo. Mwenye kamera anzieni pale Mikocheni halafu nenda na hiyo barabara inayopitia kwa Mwalimu mpaka inapounganika na Morogoro rd. Kuna nyumba nzuri tu kule.
   
 17. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bado sijajibiwa swali, tukishaweka hizo picha za majumba ya kifahari ndio inakuwaje? Hamkawii kuwekewa majumba yenu au ya ndugu zenu ikawa mzozo mimi simo lol.
  [​IMG]
   
 18. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 19. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu Eqlyps nimezikubali .... haya ndio majumba, ngoja niaze kudondosha shilingi moja mpja kwenye kibaba, mwishoni najua nitatengeneza vitu kama hivi!!1
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
Loading...