Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,203
- 1,462
Waungwana mimi nikigusa jukwaa la siasa na dini nahisi kupata strees tu' haya wewe jukwaa gani linakupa strees?
Waungwana mimi nikigusa jukwaa la siasa na dini nahisi kupata strees tu' haya wewe jukwaa gani linakupa strees?
Duu la siasa bhana! Ni kiwa hapo napandwa hasira kuona mtu anatetea utumbo, saa nyingine nafikiria kuchoma kitambulisho cha kupigia kura, ikifika kwenye kesi za uchaguzi roho inaenda mbio! Yan stress tupu hakuna kufurahi
Meza piriton kabla hujaingia huko!
Meza piriton kabla hujaingia huko!
:biggrin1: ni kweli lakini, yaani jamii forum nzima...ukiingia siasa lazima upandishwe na hasira, tunashukuru chit chat zipo angalau zinatupooza
Afu we hebu kuja pande hii unimeze. Nasikia una maumivu ya naniliyu.jf doctor.....uwiii....nikiingia kule naona kama nipo wodini....watu wanaumwa bana....we acha tu....
Afu we hebu kuja pande hii unimeze. Nasikia una maumivu ya naniliyu.
Afu uchape mwendo jukwaa la dini ukafanyiwe maombi na mastress makers ya kule. Manin zao na nusu.
Mie napata stress kukosa jukwaa langu !!!
Hahaa huko nakuogopa kama ukoma!Maria ingia kwenye jukwaa la siasa ukitoka huko utajua kama umepata stress au laa
Ahaa na wewe ruta panakukera huko? Mimi napata stress sana kwenye siasa ila nikiwa heading tu najikuta nimeshaingia mpaka nikitoka maumivu tayari
jf doctor.....uwiii....nikiingia kule naona kama nipo wodini....watu wanaumwa bana....we acha tu....
Hahaa huko nakuogopa kama ukoma!
Afu we hebu kuja pande hii unimeze. Nasikia una maumivu ya naniliyu.
Afu uchape mwendo jukwaa la dini ukafanyiwe maombi na mastress makers ya kule. Manin zao na nusu.
khaaa naria roza u r back? karibu!