Ila kuna wakati wanawake hudhani kwamba kua mwanamke ni ulemavu au ugonjwa kila kitu afanyiwe.
Sinki la kupigia mswaki limeziba hata kuchukua kijiti achomechome lizibuke anakusubiri baba flani sinki limeziba
Pazia limedondoka, baba nanii pazia limedondoka ukitoka kazini ulifunge
Bado wanataka kupandishwa mount Kilimanjaro aisee hebu kuweni na huruma bhana mtatuua
Kwanza hamtulipi overtime
Yaani mwanamke hata unaumwa umelala atakuamsha umsaidie kubebe hata kitu flani ukimwambia mimi naumwa atakujibu wewe mwanaume jikaze hivi mwanaume yeye ni chuma hachoki?
Lkn hii haki ya Mungu inategemea ntu na ntu. Wanaume wengine ndio wako hivo.