NGULI JF-Expert Member Mar 31, 2008 4,803 637 May 6, 2010 #1 Majukumu ya kibongo Attachments majukumu ya mtu mzima.bmp 1.5 MB · Views: 169
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Jan 10, 2009 5,471 734 May 6, 2010 #3 SI mchezo ndio mzigo wa maisha tulionae Watz wa sasa
Gaijin JF-Expert Member Aug 21, 2007 11,812 5,289 May 6, 2010 #4 mbongo ananikosha nini eee..............juu ya majukumu yote hayo bado ana na 'nyumba ndogo' na anatoa michango ya 'harusi na send off'! mimi mchango wa send off sitoi na wala wa harusi..........
mbongo ananikosha nini eee..............juu ya majukumu yote hayo bado ana na 'nyumba ndogo' na anatoa michango ya 'harusi na send off'! mimi mchango wa send off sitoi na wala wa harusi..........
Technician JF-Expert Member Mar 30, 2010 841 222 May 6, 2010 #5 105,000/- Inatosha according 2JK............. Kodi.................25,000/= ( Mbagala au Bunju B) Umeme..............5,000/= Maji...................5,000/= Ada ya Shule.......25,000x4=100,000/= Wazee kijijini........50,000/= harusi...................20,000/= Sendoff.................20,000/= Arobaini.................20,000/= Nyumba ndogo........5,000/= Nyumba kubwa........5,000/= Bili ya maziwa..........30,000/= Nauli....1000x24.......24,000/= Jumla ndogo......................309,000/= Mshahara.........................115,000/= Jumla ndogo.....194,000/= Utadaiwa kila mwezi..........194,000/= POLE SANA MFANYAKAZI WA TANZANIA.
105,000/- Inatosha according 2JK............. Kodi.................25,000/= ( Mbagala au Bunju B) Umeme..............5,000/= Maji...................5,000/= Ada ya Shule.......25,000x4=100,000/= Wazee kijijini........50,000/= harusi...................20,000/= Sendoff.................20,000/= Arobaini.................20,000/= Nyumba ndogo........5,000/= Nyumba kubwa........5,000/= Bili ya maziwa..........30,000/= Nauli....1000x24.......24,000/= Jumla ndogo......................309,000/= Mshahara.........................115,000/= Jumla ndogo.....194,000/= Utadaiwa kila mwezi..........194,000/= POLE SANA MFANYAKAZI WA TANZANIA.
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 May 6, 2010 #6 Kwa mtaji huu, ufisadi sidhani kama utakwisha.
TzPride JF-Expert Member Nov 2, 2006 2,616 1,167 May 6, 2010 #7 Hapo lazima mtu chali!...usingizi hapo hupati aisee! si auze hiyo nyumba ndogo alipe bili?