farkhina ullipotelea wapi?
Tulikumiss hakika....!!
Nipo nliambiwa nipumzike kuja huku kdg na mupenzi lol
kwa kusikitisha kavaa sweater la ccm....inaumiza sana kuona kitu kama hiki hapa nchini kwetu.
Kweli bana mic you sanaaaaaaaaaa!
Enzi hizo skonga ya msingi unaingia kwa shifti, hapo umerudi zako nyumbani inabidi ukorofishe madikodiko kabla ya kugeuza tena skonga kwa ajili ya afternoon session...
haya ndo maisha tiliyokulia sisi wa vijijini na kwa sasa wameongezeka manake wengi mayatima
Cha kushangaza zaidi, atakuja Nape kuwakunia nazi na kupiga ngoma kijijini kujifanya ni mtu wenu na kumchagua kuwa kiongozi wenu. Akipata kula zenu hamumuoni tena mpaka miaka 5 ijayo kwa ahadi hewa zile zile na kauli mbiu ya miaka ya 47 kuwa Tanzania ni nchi masikini, tukaze buti. CCM hawa, wana dhambi sana.
Maliasili za kufa mtu, gesi mafuta madini nk nk, viongo ziii wakitanua na fii ex fii eiti