Majonzi, Majonzi, Majonzi Nalia mimi jamani

Catherine kwa nini cjui ameamua kumuua Ndlamin mungu wangu bado hata siamini, sasa ona umeipa hasara UNICEF AFRIKA na cjui kama atapatikana mtu muhim kama huyu bingwa wa magonjwa ya watoto basi tu acha nilie mimi
 
Kwa bahat nzuri wabongo wengi hatumiliki chamoto,la cvyo tungekuwa tunasikia matukio daily maana dushe na papuchi zina2changanya balaaa
 
Baada ya fumanizi walirudi nyumbani salama lakini leo mchana Catherine kachukua bastola kwenye kabati ya chumbani na kamimina risasi tatu za kifuani na hyo ndo story kwa ufupi it pains much

aiseeeeee
 
Kumiliki silaha sio kitu kibaya na hata TZ hazina masharti makubwa sana hadi uimiliki

Kwa bahat nzuri wabongo wengi hatumiliki chamoto,la cvyo tungekuwa tunasikia matukio daily maana dushe na papuchi zina2changanya balaaa
 
Catherine kwa nini cjui ameamua kumuua Ndlamin mungu wangu bado hata siamini, sasa ona umeipa hasara UNICEF AFRIKA na cjui kama atapatikana mtu muhim kama huyu bingwa wa magonjwa ya watoto basi tu acha nilie mimi

si ulisma jamaa alichepuka mbona tena unauliza kwanini amemuua au ndio confusion zenyewe
 
Ni maamuzi mabaya ambayo hakutakiwa kufanya hata km ni fumanizi sio kawaida kabisa wangesuluhishana yakaisha anyway namwachia mungu

si ulisma jamaa alichepuka mbona tena unauliza kwanini amemuua au ndio confusion zenyewe
 
Apumzike kwa amani, adhabu ipo juu ya wote. Mke kwa kumtoa mmewe uhai, mume kwa kuisaliti ndoa yake
 
pole sana!!
 
du michepuko kweli siyo dili!! R.I.P rafiki...
 
Mchepuko noma

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
pole huku tunasema wamegawana majengo ya serekali mume kaenda mochwari mke mahabusu
 
Jamani samahani kama nitawaudhi ila ni bora yeye kafa mara moja lakini huwezi jua huenda kamwacha mke ambaye ataishi binadani mfu for the rest of her life! let assume alimwamini mwenzake kwa 100% na leo hii kamfumania real inaweza kuwa imemuumiza sana mpaka kafikia uamuzi huo! Sisemi kafanya sawa ila ninachosema, tubaki njia kuu kuepuka ajali za kujitakia! Nampa npole huyo mwanake kwa kumuua mumewe na pia kwa majeraha ya kuumizwa coz anaweza asimwamini mwingine tena na hivyo akayamaliza maisha yake bila kuyafurahia mahusiano!
 
Yah,he get what he deserve!!
goood!!good!!Bwana amuweke panapostahili,maana maandko yako wazi kabisa!!
 
Duh..! Pole sana mdau..
Kweli michepuko ni noma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…