Canop
Senior Member
- Jan 8, 2014
- 175
- 28
Tumeondokewa na mhandisi mtarajiwa wa mwaka wa pili (Thobias Paul) jana usiku ktk hospitali ya mkoa wa morogoro na mwili wake kusafirishwa leo kwenda Arusha kwa mazishi baada ya kuagwa na wanafunzi, utawala na wafanyakazi wote wa SUA siku ya leo jioni.
tulimpenda sana ila shukrani ni kwa muumba wetu ambaye amempenda zaidi.
tulimpenda sana ila shukrani ni kwa muumba wetu ambaye amempenda zaidi.