King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,806
- 94,911
Kumbe dogo nawe ni Mmenye...
Aisee huu ni msiba wa tatu sasa nausikia wa ex-ilborian ndani ya miezi miwili...halafu wote ni vijana wadogo ambao hawajafikisha hata miaka 30....
Hatari sana
Wengine kina nani mmenye?