Kila nafsi itaonja mauti,mungu amuweke mahali.pema peponi,ameen,poleni.sn.wana SUATumeondokewa na mhandisi mtarajiwa wa mwaka wa pili (Thobias Paul) jana usiku ktk hospitali ya mkoa wa morogoro na mwili wake kusafirishwa leo kwenda Arusha kwa mazishi baada ya kuagwa na wanafunzi, utawala na wafanyakazi wote wa SUA siku ya leo jioni.
tulimpenda sana ila shukrani ni kwa muumba wetu ambaye amempenda zaidi.
Dah! Inauma sana Rafiki Yangu Thobias ulale mahali pema peponi!
Nakumbuka sana tulivyoishi wote Ilboru
Dah! Inauma sana Rafiki Yangu Thobias ulale mahali pema peponi!
Nakumbuka sana tulivyoishi wote Ilboru na kushirikiana kwenye masuala ya UKWATA!
Nakumbuka sana tulivyokuwa tunaenda kwenye Maombi kila saa nne usiku na kila asubuhi Nyuma ya lecture Hall.
Naikumbuka sana A.K.A yako "Top T wa hisabati".
I can remember mwisho tumewasiliana Christmass ukaniambia hautaweza kwenda Arusha kwa kuwa likizo ni fupi Mno! Nikakuomba uniandikie meseji ya Christmass kwa lugha ya kimasai! And I sent it to my Girlfriend!
Jana napata taarifa umeondoka kwa kuumwa Malaria!
I will always Remember u bro!
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA!
Jina lake lihimidiwe!