Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 533
Mkuu nini tofauti kati ya Kanga weupe na weusi? na vipi watu wa Maliasiri make hawachelewi kuku bambikia Kesi kwaba unataka kuwapandisha ndege kwenda Qatari, ila mimi ntaka Bata mzinga mayai niweke kwa Mashine sijui unauza vipi yai moja? nikipata kadhaa yanatosha
Tofauti kubwa ni rangi. tabia za kanga zinaweza kufanana isipokuwa hawa ni tamed zaidi kuliko wale weusi. Mayai kwa sasa sina. Well masuala ya ufugaji yanaweza kuwa na changamoto zake ila mimi sijawahi kukutana na watu hao wa maliasili. nimefuga kwa muda sasa sijawaona
Na tigo pesa/ mpesa ntatuma PM?
Acha woga weka contacts
Now u r talking, je una bata maji na bata bukini?Hakuna woga wowote mkuu, ni 0789985395
Hao majogoo chotara ni kabila au aina gani na ni wakubwa wa - wana umri gani kwa bei hiyo Mkulima wa Kuku?Majogoo chotara 20,000.00 makubwa; Kanga weupe 35,000.00; Bata mzinga madume makubwa 150,000.00 (tunaweza ongea bei ukitaka hasa kwa bata mzinga); vifaranga vya bata mzinga kati ya 10,000.00-20,000.00 inategemea umri na ni kwa order. Ukitaka nipm
Namba haipatikani mkubwa..........umetupa namba ya gari !!