Majogoo wa kienyeji, kanga weupe, bata mzinga - Dar es Salaam

Mkuu nini tofauti kati ya Kanga weupe na weusi? na vipi watu wa Maliasili manake hawachelewi kuku bambikia Kesi kwaba unataka kuwapandisha ndege kwenda Qatari, ila mimi nataka Bata mzinga mayai niweke kwa Mashine sijui unauza vipi yai moja? nikipata kadhaa yanatosha
 
Mkuu nini tofauti kati ya Kanga weupe na weusi? na vipi watu wa Maliasiri make hawachelewi kuku bambikia Kesi kwaba unataka kuwapandisha ndege kwenda Qatari, ila mimi ntaka Bata mzinga mayai niweke kwa Mashine sijui unauza vipi yai moja? nikipata kadhaa yanatosha

Tofauti kubwa ni rangi. tabia za kanga zinaweza kufanana isipokuwa hawa ni tamed zaidi kuliko wale weusi. Mayai kwa sasa sina. Well masuala ya ufugaji yanaweza kuwa na changamoto zake ila mimi sijawahi kukutana na watu hao wa maliasili. nimefuga kwa muda sasa sijawaona
 
Tofauti kubwa ni rangi. tabia za kanga zinaweza kufanana isipokuwa hawa ni tamed zaidi kuliko wale weusi. Mayai kwa sasa sina. Well masuala ya ufugaji yanaweza kuwa na changamoto zake ila mimi sijawahi kukutana na watu hao wa maliasili. nimefuga kwa muda sasa sijawaona

mbali na yote kanga pori na wakufuga utawajua 2
 
Majogoo chotara 20,000.00 makubwa; Kanga weupe 35,000.00; Bata mzinga madume makubwa 150,000.00 (tunaweza ongea bei ukitaka hasa kwa bata mzinga); vifaranga vya bata mzinga kati ya 10,000.00-20,000.00 inategemea umri na ni kwa order. Ukitaka nipm
Hao majogoo chotara ni kabila au aina gani na ni wakubwa wa - wana umri gani kwa bei hiyo Mkulima wa Kuku?
 
Ni wakubwa WA miezi 10 mchanganyiko Nana Ludhiana mama Australian NA Malawi. Ni wakubwa kawah viwango Vya majogoo
 
Ni wakubwa WA miezi 10 mchanganyiko mama Australian NA Malawi. Kuchi . Ni wakubwa kwa viwango Vya majogoo
 
naaandaaa shamba huko kibaha...nikishaliset vizuri ntakutafuta mkuu....naingia serious kwenye ufugaji ajira sasa basi
 
Mimi nipo nadhani Songea. Nadhani kupata vifaranga mwana baba na mwana mama. Wanasafirishwa?Weka na picha kaka/dada.
 
Namba haipatikani mkubwa..........umetupa namba ya gari !!

Tena gari lenyewe la mkaa, yaani likitoka porini ndani huko,linaishia porini tena,yaani linalofaulisha bidhaa haramu.

Kaka weka simu active,

Back to the point, nahitaji Kanga weupe sita.
 
wakuu ukipita Viwanja vya sabasaba kuna Bata pekin wanawauza bei nzuri sana
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom