Majogoo wa kienyeji, kanga weupe, bata mzinga - Dar es Salaam

wakuu ukipita Viwanja vya sabasaba kuna Bata pekin wanawauza bei nzuri sana

Duu!

Bei nzuri ni kiasi gani mkuu, Niwaase wandugu tuwache siasa na utapeli hukooo kwenye majukwaa husika , ukiweka taarifa jukwaa hili jitahidi iwe taarifa thabiti! Wengine wetu tupo JF just for tjis forum!

Back to the post ...mkuu weka data zinazotusaidia ; mfano nikipita Saba-7 grounds ...napoelekea wapi? Maelezo hayajitoshelezi kwa kweli na hii ni shida kwenye nyingi ya posts zetu
 
Majogoo chotara 20,000.00 makubwa; Kanga weupe 35,000.00; Bata mzinga madume makubwa 150,000.00 (tunaweza ongea bei ukitaka hasa kwa bata mzinga); vifaranga vya bata mzinga kati ya 10,000.00-20,000.00 inategemea umri na ni kwa order. Ukitaka nipm
kaka naomba namba yako haraka
 
Hbr mwana jf naitwa mawere nipo kibamba dar ninao bata bukini ,bata mzinga kike \ kiume uzito ni 5kg..bata bukini pia ninao wakubwa wote pia kaanga wakubwa..kwa anaitajii tafadhali apige cm hii hapa ......
0754-302-768....kwa ajili ya maelewano ya bei....

commitment to customer satisfacations
 
Mbona hujaweka bei elekezi?
 
Majogoo chotara 20,000.00 makubwa; Kanga weupe 35,000.00; Bata mzinga madume makubwa 150,000.00 (tunaweza ongea bei ukitaka hasa kwa bata mzinga); vifaranga vya bata mzinga kati ya 10,000.00-20,000.00 inategemea umri na ni kwa order. Ukitaka nipm
Unapatkana wap mkuu
 
Back
Top Bottom