huku habar wanayo, uzuri mimi nilikua nisha punguza usingiz,Wakuu hii kitu inakera sana,Mara wacheke alafu ni night mtu umechoka unahitaji kupumzika,nyumba za kupanga pasua kichwa walahi
Wakuu hii kitu inakera sana,Mara wacheke alafu ni night mtu umechoka unahitaji kupumzika,nyumba za kupanga pasua kichwa walahi
😂😂😂Tulia Dr. ViluZ
Mlitakaa aandike kerere??[emoji23][emoji23]Mkuu ni makusudi au vipi?
Umeamua kugeuza matumizi ya r na L
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakubari = NakubaliNakubari unyama Ni Mwingi
daridali
Halafu haijaidia isomeke haijasaidiaacha tu, nina waalimu wengi sana wa r na L humu lakini haijaidia kitu
Mara ya kwanza na komenti hapa jamii forum bi. Faizafoxxy aliniambja kuwa sijui kuandika. Niliwaza sana kuhusu essay zangu za mfecane war na globalization ni kwamba ni nani ilikua ananiandikia.Nakubari = Nakubali