mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,017
- 49,172
Ni kama mwezi sasa hakuna jipu jipya sasa kazi iliyobaki ni kuwatumbua wote wanaojiia kidomodomo na kukosoa serikali.
Ina maana serikali hii ilikuwa haina agenda mpya zaidi ya kutumbua majipu?
Na kumbe majipu mengi mafaili yake yalikuwa kabatini yaliachwa na mtangulizi sasa serikali hii imeshindwa hata kuanzisha majipu yake imeamua kuanza na wananchi. Je, huu ni uungwana, kila mwenye dhamana katika nchi hii anatafuta raia wa chini yake amuonee?
Nchi imekuwa kama familia ambayo haina baba wa kututetea.