saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,683
- 7,796
Mzee hili ni baraza la watu wote kama 'mmewaminya' watu subiri kikaango!Duuu.
Kumbe songombingo bado ipo?
Ebu toa uthibitisho wa ufisadi wa huyo mwenye PhD feki! Yaani wewe umetumia kigezo gani kutambua ufeki wa PhD?
Na pia thamani ya jengo umeijuaje? Upo manunuzi au ni mjumbe wa bodi?
Kwa nini ushitakie mtandaoni? Au ndio ni mmoja ya unaodai wamefukuzwa?
Anyways,Kila la kheri kama una nia njema.
Alete data ili tujadili.
Vinginevyo hii hoja haina mashiko,ni majungu tu.
Well said. Kwa hilo la lobbying usitarakie mabadiliko chanya kwa mtu kama huyo.As far as i know Eng. Dkt. Masika degree yake ya uzamivu sio fake.
Suala la kukiharibu chuo kwa kufukuza fukuza academic staff ni la kweli. Pia tuhuma za kutumia gharama kubwa katika miradi ya ujenzi wa majengo siwezi kulikataa.
Kwa taarifa tu ni kwamba alipokuwa Mkurugenzi wa Mafunzo DIT aliwahi kufanya lobbying kwenye bodi ya chuo (DIT)ili kupata promosheni ya kuwa Associate Professor lakini akawekewa ngumu kwakuwa hakuwa na vigezo. Alikuwa hana darasa lolote analofundisha na hakuwa na chapisho ama utafiti wowote aliokuwa amefanya ili kupata sifa ya kuwa 'polopesa'.
Mwisho kabisa, alipoondoka DIT academic staff pamoja na non academic staff walifanya sherehe na hata mabadiliko chanya katika taaluma na staff affairs yakaanza kupatikana.
NB:
Nitarudi siku nyingine mkinihitaji kwakuwa nina mengi lakini kwa sasa itoshe.