Ilikuaje kuaje ukaamini haya mamboMimi huwa naamini kuna viumbe wanaoishi au waliishi ambao ni tofauti na binadamu kuna wanaoita majini au mapepo kama ulivyosema pia kuna ambao hawaamini dini ila wanahisi kuna aliens walikuwepo au mpaka sasa bado wapo pia kuna wanaamini uwepo wa dimension nyingine tofauti na ya kwetu ambayo huenda ikawa na viumbe hivyo hii inaonyesha asilimia kubwa huenda kukawa na uwezekano wa viumbe wanaishi ulimwengu tofauti na sisi ila majina ndo yanatofautiana tu kutokana na culture ya watu husika
Kitu kinazungumziwa na jamii tofauti tofauti unaanza kupata mashaka huenda kikawa na ukweli maana kama Abrahanic religion wanaamini viumbe hivyo, budhist wanaamini uwepo wa dimension tofauti, wanasayansi wanaamini pia dimension zaadi tulizonazo au tunazojua, wengine wanaamini aliens pia wakiwa na strong arguments unanza kujifikiria huenda wakiwepo,Ilikuaje kuaje ukaamini haya mambo
Kwahiyo wewe unaamini kwa sababu wengi wanaamini?Kitu kinazungumziwa na jamii tofauti tofauti unaanza kupata mashaka huenda kikawa na ukweli maana kama Abrahanic religion wanaamini viumbe hivyo, budhist wanaamini uwepo wa dimension tofauti, wanasayansi wanaamini pia dimension zaadi tulizonazo au tunazojua, wengine wanaamini aliens pia wakiwa na strong arguments unanza kujifikiria huenda wakiwepo,
Sio kila kitu mpaka umprove wewe ndio uamini, unaangalia watu wangapi wanasema hivyo vitu tena wa jamii tofauti mpaka ambao hawaamimi kwenye mambo ya dini na uchawi wanaamini, siwezi ku prove kama navuta oskijen ila naamini wapo waliofanya majaribioKwahiyo wewe unaamini kwa sababu wengi wanaamini?
Mfano wewe umethibitisha vip kama huwenda vitu kama hivyo vipo ukiacha hizo story za kusikia
Kumbe watu wakiwa wanaamini kitu kwa wingi inabidi na wewe uaminiSio kila kitu mpaka umprove wewe ndio uamini, unaangalia watu wangapi wanasema hivyo vitu tena wa jamii tofauti mpaka ambao hawaamimi kwenye mambo ya dini na uchawi wanaamini, siwezi ku prove kama navuta oskijen ila naamini wapo waliofanya majaribio
Sio uamini ila uweke possibility kwamba huenda kuna ukweli ndani yakeKumbe watu wakiwa wanaamini kitu kwa wingi inabidi na wewe uamini
Basi bado nina safari ndefu sana
Huenda basi sawaSio uamini ila uweke possibility kwamba huenda kuna ukweli ndani yake
ngoja nikuulize, kwanini huamini kama mungu yupoHuenda basi sawa
Kwa sababu hakuna action yoyotengoja nikuulize, kwanini huamini kama mungu yupo
Umesema kwamba malaika si Shetani, bali Shetani ni nguvu iliyomwingia malaika Lucifer na kumfanya awe mwovu na akawaambukiza wengine ambao ndio hao mapepoNegative energy ilivyomuingia malaika ndo akaitwa shetan, kumbe shetan sio malaika bali n ile nguvu hasi iliyomuingia malaika Lucifer na malaika aliowaambukiza iyo nguvu ndo mapepo.
Ungejazia jazia nyama mkuuThe Monad
Ulimwengu una kanuni na kanun ndo zinafanya kila kitu kiwe ivi kilivyo haijalish kutakuwa na usawa, kutakuwa kunaeleweka au la.Umesema kwamba malaika si Shetani, bali Shetani ni nguvu iliyomwingia malaika Lucifer na kumfanya awe mwovu na akawaambukiza wengine ambao ndio hao mapepo
Sasa hiyo nguvu ilitoka wapi, na chanzo chake hasa ni nini?
Au Mungu ndiye mmiliki au chanzo cha nguvu hiyo?
Mkuu twende taratibu kwanzaUlimwengu una kanuni na kanun ndo zinafanya kila kitu kiwe ivi kilivyo haijalish kutakuwa na usawa, kutakuwa kunaeleweka au la.
Kwenye kanuni 12 za ulimwengu, kanuni namba 10 n Polarity/Kinyume.
Kinyume cha Mungu automaticaly n shetan, apo sio shetan/uasi kuumbwa bali n uumbaji kinyume chake uharibifu, Muumba/Mungu kinyume chake n Muharibifu/Shetan, Nguvu uumbaji/Mungu kinyume chake n Nguvu Uasi/Shetan.
Au kwa lugha ya sayans izi nguvu n highest gravity, negative and postive energy.
Izi n power au nguvu kinzan ambazo hakuna iliyomuumba mwenzake bali kuwepo kwa postive lazima negative itokee na apa ndipo inatokea kanuni namba 12 ya ulimwengu inayoitwa GENDER/JINSIA_maisha uhai au uwepo wa kitu chochote unategemea muunganiko wa KE na ME, hakuna umeme unaowaka bila has na chanya, hakuna kitu ulimwengu huu chanzo chake sio gender.
Mungu yupo ila shida zote tunazopitia n process ya nguvu chanya kuua nguvu has/Mungu kumuangamiza shetan, kuwe na chanya bila hasi mfano umeme uwake kwa waya nmoja tu wa chanya bila hasi, ulimwengu utengeneze uhai kwa nguvu moja tu ya baba bila mama.
Swali kuu n je? Mungu hakujua hii nguvu itatokea na kumsumbua! maana hajaiumba bali hii imetokea kikanuni za ulimwengu-CAUSE and EFFECT/Sababu na athari
Apa aliangalia faida na hasara.
Faida au manufaa yakiwa makubwa kushinda hasara au changamoto ilo jambo unaenda nalo uku ukipambana na changamoto ndan ya safari na waathirika n kuwaelimisha waupokee ukwel ata kama mchungu na apo ndo zinaibuka sheria na amri zake, pepo na jehanam.
Why!? Afanye ivi n kwasababu anaongozwa na kanuni zake binafsi Choice, Free will and Judgenment/uchaguz, Hiari na Hukum.
Ivyo ndivyo ilivyo,
Mungu yupo, shetan yupo.
Shetan sio kusudi ila process yakumuondosha haikuwa sababu sis tusiwepo,
Tupo, tumejaa tele na tunatamba bila kujali kuna vita kati ya Mungu na kivuli chake.
Kikubwa n sisi kuzoea na kufuata sheria kama maisha ya masharik ya kati vile; wanazaliwa wanakua wanakufa n vita tu kikubwa n kujua kuish mazingira ya vita, mabom ukwepe vipi, chakula pesa utafute vip. Sio kwamba unapenda ila lengo la vita kama n zuri unavumilia shida na changamoto zote unazipokea.
Ulimwengu una vita ya izi nguvu kinzan, izi nguvu zipo kwel ndo mana tunaona matokeo japo n matokeo mseto chungu na tamu ila hatuna budi na haiondoi uwepo wa hawa Mungu na Shetan.
Kwahiyo ki uhalisia issue za majini ni za kusadikikaHayo yote yapo na hayapo kwa wakati mmoja kutegemeana na conscious level na reality.
Ukiwa kwenye hatua ya juu ya ufahamu na maarifa ambao unajumuisha elimu, umahiri na weledi hakuna cha mapepo wala majini.
Katika hatua ya chini ya kujitafuta na kutojitambua ambapo egemeo kuu ni imani ambayo inapelekea kuwa mtiifu na kushindwa kuhoji kutokana na kwa programmed kwa kulishwa matango pori hayo makitu kama majini na mapepo yana exist katika uhalisia huo.
Kwa hiyo uwepo au kutokuwepo kwa hayo makitu kunategeme kuwepo au kutokuwepo kwa realities tofauti accordingly.
Kabisa mkuu, upo sahihi.Kwahiyo ki uhalisia issue za majini ni za kusadikika
Majini mapepo hayapo
Labdda uamue kuyatengeza mwenyewe kicwani si ndio mkuu