Mbona unacheka sasa...au hujawai ona watu wanakufa wakiwa wana abudu...kule maka mbona wengi wanakufa kwa kukanyagana na kupigana mawe wkt wa kumpiga mawe shetani..huo msalaba utakua ulikua umeshalegea muda mrf...
Upo njee ya mada aiseeKujali, kupenda , kuheshimu na kusaidia watu kwangu hiyo ni ibada tosha, when people are happy with me huwa inanipa imani sana
Asante kushirikinilijua pia kua utasema na ivi
Upuuzi huu sifanyi ππKila sehemu hutaki inabidi uende kwenye mizimu ya Babu zako kikeni na kiumeni π€£
Unamfundisha ujingaKabisa. Hata kama unapenda sana amani lazima mara moja moja urushe guruneti ili heshima ibaki pale.
Ukiamka karibuYeah fofofo kabisa mkuu
Mungu hayupoKwahiyo wewe wasiwasi ni uwepo wa Mungu au Mungu hayupo?
Na kama umesoma madrasa...hofu yako ni nini?
Juzi wamenyonga watu kisa wamefanya mapenzi msikitiniHayo madude ndio kitu pekee mwarabu aliweza kukigundua kupitia ilimu yake ya maandishi ya kukariri ya kurudi kinyume nyume. Ndio alituletea kwa majahazi alipokuja kuleta biashara ya utumwa na dini yake. Bila hiyo nyenzo hakuna mwenye akili timamu angekubali kuuzwa kama ngombe au kukubali kuacha tamaduni zake na kuanza kufuata za kiarabu kuanzia majina, vyakula, lugha na mavazi
Yes niliandika usiku sa 7 π πNa umeandika in the midnight, woooπ±
Jana mida ya saa 6 usiku nikaingia Tiktok, ghafla bin vuuu nakutana na live ya mtu (ke), maneno aliyokuwa anaongea na muonekano wake ukawa kama unabadilika badilika kwa mbali, niliogopa nikatoka chapππ
Upo wapi?Uchawi upo
Taratibu π πMbona unacheka sasa...au hujawai ona watu wanakufa wakiwa wana abudu...kule maka mbona wengi wanakufa kwa kukanyagana na kupigana mawe wkt wa kumpiga mawe shetani..huo msalaba utakua ulikua umeshalegea muda mrf...
Sio mtalaamu wa kutype ila uchawi upo kwenye vitu, πUpo wapi?
Upo kwenye vitu gani πSio mtalaamu wa kutype ila uchawi upo kwenye vitu, π
Nimecheka gif ya dada yangu , si huyo Father, na nilikuwa namtania Dada yangu kwamba hata msalaba unaweza ukakusababishia madhara pia.Mbona unacheka sasa...au hujawai ona watu wanakufa wakiwa wana abudu...kule maka mbona wengi wanakufa kwa kukanyagana na kupigana mawe wkt wa kumpiga mawe shetani..huo msalaba utakua ulikua umeshalegea muda mrf...
Rudia ulichokiandika na nilivyokujibu πUpo njee ya mada aisee