Majini & Mapepo πŸ‘»πŸ€”

ili ukifahamu kitu vizuri basi ni lazima upate elimu nzuri inayousiana na icho kitu lakini tatizo ni kwamba kuna elimu nyingine ni za siri mno na pia ni ngumu kwaiyo ni nadra sana kuwekwa azarani. binafsi mimi ninaamini viumbe vyote vinavyozungumziwa kuwa uwa avionekani kwa macho ya kawaida vipo ila tatizo ni kwamba elimu ya kuvisogelea ndio changamoto
 
Kwanini hizo elimu hamtaki kuzitoa kwa wengine nyie ni selfish?
 
Lete ushahidi wa kutosheleza ? Usitake kuchonganisha imani za watu
Mapepo yanaokemewa huwa yanahitaji majina. Ndo hayo Maimuna sijui Subiani. Huwezi kuyasikia wakijiita Petro wala Daniel. Na kwenye vitabu vyao waislamu wanakiri kuwa majini ni waislamu wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…