Majini & Mapepo 👻🤔

Majini & Mapepo 👻🤔

Sio alaumiwe yeye alieumba ubaya?
Aliumba ubaya wa nini ?
Point ya msingi ni kwamba mtu anavuna anachopanda kwa maana ana uamuzi wa matendo yake ndio maana miongoni mwetu kuna waliyochagua kutenda matendo mema na waliyochagua matendo maovu.

Sasa wewe ukiamua kutoa lawama kwa huyo muumbaji kwa kuumba hayo maovu, hilo ni suala lengine sikuzuii mkuu kutoa hizo lawama.
 
Umeshindwa kujibu swali
Asante kwa maoni 🤝
 
Umeshindwa kujibu swali
Asante kwa maoni 🤝
Msingi wa maelezo yangu ni kwamba mtu anavuna alichopanda na kupinga suala la kuona kuwa muumbaji ndio anapaswa kulaumiwa. Sasa kama unaona sijaweza kujibu swali la kwanini muumbaji kaumba maovu? ni sawa, sababu binafsi naona ni point ya msingi ishajadilika.
 
Back
Top Bottom