Majini & Mapepo 👻🤔

Majini & Mapepo 👻🤔

We mdada unazungumzia asili ya vitu vyote kuna uhasi+uchanya. Na vyote ni kipimo kwako wewe binadamu kuumbwa kwa ulimwengu haikuwa kirahisi bila hata maandiko kwa mtazamoo tuu ipo nguvu kuu, unamini katika Mungu????
Siamini katika Mungu
 
Nimejenga hoja
Inatakiwa wewe u comment kulingana na mtiririko wa mada au unasemaje?
Nasema hivi Mungu na Shetani ni Roho maswali yako mengi+majibu yamejikita kuongelea Mungu au Shetani kama Binadamu,wewe pia una Umungu na Ushetani ndani ya hilo jumba ambalo ni mwili wako mapepo ni tabia chafu majini ni roho.
 
Wewe unataka niwaongelee vipi
Ili isionekane nawaongelea kama binadamu
Sijaelewa point yako bado
 
Samahani mkuu unatumia AI kunijibu?

Nashangazwa namna ambavyo badala ya kunijibu maswali yangu ni kama unaniuliza tena

Sasa tutakuwa tunaulizana tuu bila kupeana majibu?

now nipo barabarani
Nikitulia nitakuja kukujibu
Kwanza ujibu maswali halafu ndio ullamike kwa AI
 
Kwanza ujibu maswali halafu ndio ullamike kwa AI
Mkuu, mimi napenda mijadala huru, namaanisha free.minded discussions

Sio mimi nijiumize kichwa kujenga hoja, halafu wewe uje na majibu ya AI

Mara ya kwanza ulipouliza, nilikujibu vizuri sana kwa njia ya maswali nashangaa badala ya kujibu maswali yangu na kuendeleza mjadala, unakuja na majibu ya jumla tena mwisho wa siku ni kama unaniuliza maswali yale yale

Mimi napenda mjadala ambao kila mmoja anatumia uwezo wake wa kufikiri kuhoji na kujibu hoja kwa hoja Sio kuzungushana kwenye majibu ya jumla

Samahani kama nitakukwaza
 
Back
Top Bottom