ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,361
- 51,272
- Thread starter
-
- #241
Acha uvivu soma banaπSijasoma Uzi wako ni mrefu sana ila ninachokumbuka kuna ndugu yetu mmoja wa kike alikuwaga na majini miaka ya 90 yalikuwa yanapanda kabisa ila siku hizi sioni hizo mambo nahisi wale majini waliamua kurudi kwao baada ya kuona hali ngumu hapa Bongoπ
Karibu mkuuMaswali mazuri sana.
π πukifa unageuka kuwa jini,maana ya jini kwa kiarabu ni kitu kisichoonekana,same as Genes
Uliyajuaje haya?Sababu alietengeneza hii Dunia hakutaka hivo,
Kungekua hakuna ya kujua tusingekua na fikra hiziangetaka tungejua kilakitu. sisi ndo tunaforce kujua yale ambayo hayana haja kuyajua.
Hivi ShesRise_1 argument yako ni kuwa hakuna kabisa creator au unahisi yupo ila sivyo kama wanavyodai watu wa dini za AbrahamUliyajuaje haya?
Kungekua hakuna ya kujua tusingekua na fikra hizi
Nikitumia reason naona kabisa kuna mtu alikaa akaunda gariHivi ShesRise_1 argument yako ni kuwa hakuna kabisa creator au unahisi yupo ila sivyo kama wanavyodai watu wa dini za Abraham
Ahaaa sawaSio lazima kujua habari za Mungu kupitia dini.
Vizuri mkuuI can tell you about myself. Mimi nimezaliwa kwenye familia ya dini lakini nilikua siamini hizo mambo kabisa.
Aiseee sijawahi kufika huku nomaImani yangu ilikua ni kupata utajiri kwa njia yoyote ile. Nimekaa miaka saba sijawahi kuingia kanisani.
Mambo ya kula maisha hongera na pole piaNilikua ni mlevi, mvuta bangi na wale vijana wa makundi namimi nilikua ndio kundi lenyewe, thanks God alinipa akili ya kujitambua tuu.
Nikiwa chuo mwaka wa kwanza mimi nimeuza bangi sana, na hiyo ndio ilikua plan ya kuutafuta utajiri. Club zote maarufu Dar kwa miaka ya 2010-2014 ndio vilikua viwanja vyangu. Nimeshinda sana club sansiro, bilcanas na pale sinza africasana pamoja na ambiance.
Hapa kwenye kuokoka unapatengaje na dini?Mungu aliingilia kati nikajikuta nimeokoka pasipo mtu yoyote kuniambia okoka. Hapa ndipo nilimjua Mungu.
Hongera sana mkuuBaada ya kuokoka nilipata amani ambayo sijawahi kuiona maishani mwangu, Yaani amani ambayo siwezi kumsimulia mtu akaelewa. Hicho ndicho kitu pekee Cha tofauti nilikigundua baada ya kuokoka.
Hapa upo kwenye ile line uliyoikataa ya diniNiliokoka kanisani na hiyo ndio ilikua njia ya kujifunza habari za Mungu.
kubali tu kua uokovu wako ulikua sambamba na dini licha ya kua kule juu umesema unaweza kumjua Mungu bila diniBaada ya kuokoka nilikua nakwenda kanisani vizuri tuu na pia nilikua najifunza mahubiri ya mchungaji wangu. Lakini sio Kila alichokuwa anahubiri mchungaji nilikipokea kama kilivyo. Na hapa ndipo ilianza safari nyingine mpya ya Mimi kumjua Mungu zaidi.
Mimi pia hufanya hivyo na ndio maana napata maswali na mashaka kuhusuNilianza kusoma biblia Mimi binafsi na pia nilianza kuyachunguza maandiko.
Kwahiyo injili ya kwenda mbinguni ni batili?Wachungaji wengi wanafundisha watu habari za mbinguni tuu kitu ambacho sio kweli. Mungu angekua anataka twende mbinguni basi angetuua wote ili twende mbinguni tukapumzike na kukuthibitishia hili wewe nenda kasome biblia Kuna mahali katika kitabu Cha Yohana Mtakatifu YESU anatoa ripoti kwa baba yake ambaye ni Mungu anamwambia "SISEMI KWAMBA UWATOE DUNIANI LAKINI WAPE USAIDIZI" hivyo tunapookoka ni kwamba tunafanyika watoto wa Mungu na kwa hilo tunapewa usaidizi wa kutenda jambo lolote hapa duniani, Sawa sawa na neno katika Wakorinto linasema "NAYAWEZA MAMBO YOTE KATIKA YEYE ANITIAYE NGUVU".
Roho mtakatifu nampataje?Kuhitimisha naweza kusema kwamba dini ni msingi wa kumjua Mungu lakini sio lazima ujifunze kupitia dini, wewe soma biblia na Roho Mtakatifu akuongoze bhasi.
naunga mkono hojaNasema soma biblia kwasababu hapa katika maisha ya kawaida ni Kuna watu wanajua vitu vingi na shule hawajaenda Wala Nini.
mitaala ya shule iliandikwa na mtu mmoja?Nimalizie kwa kukuuliza swali kwani alieandika mitaala ya shuleni na vitabu yeye alifundishwa na nani? Ukipata jibu hapa bhasi jua kwamba hata Mungu unaweza kumjua pasipo kupitia hiyo njia ya dini.
Kwa maelezo yote haya upo sahihi lakini kumbuka na wewe uliokoka huko huko kanisani kwa wapiga diliπ π πMkuu ni lazima uelewe kwamba dini ni Mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu. Lakini pia katika dini yamejaa maslahi ya mwanadamu kwa kutumia jina la Mungu. Nitakupa na mifano yake
Mosi: Wakoloni walitawala Africa pamoja na America kwa kutumia njia ya dini. Kasome historia ya Marekani na ukoloni.
Pili: Dini zinatumika kwa maslahi ya watu ili kuuza silaha, Zingatia wale watu walioaminishwa kwamba wakifa wanapigania dini wataenda peponi.
Tatu: Dini ni chanzo Cha mapato hasa hasa nchi za Africa, angalia wachungaji wanavyomiliki Mali za ajabu huku waumini wao wakikosa nauli na wengine wanalala njaa. Waumini wanajenga shule, mahospitali lakini wanashindwa kusomesha watoto wao wala kutibiwa katika hospital walizozijenga wao wenyewe.
Nne: Dini zinatumika kama chanzo Cha taarifa za kijasusi. Zamani wakati wa utawala wa Roma ilikua ngumu sana kupata taarifa za mauaji na hasa hasa mauaji ya Siri hivyo wakaja na mbinu inaitwa kitubio. Kwamba waumini wa Roman Catholic wanatakiwa kwenda mbele ya padri na kukiri dhambi zake zote na huu utaratibu Hadi Leo unaendelea katika kanisa la Roman. Hii ilikua ni mbinu ya kupata taarifa za uhalifu pasipo watu kujua. Zingatia zamani hizo dini ilikua ni Moja tuu ambayo ndio Roman Catholic church
Tano: Serikali za Dunia nzima zinafaidika sana na uwepo wa dini kwasababu dini zinawapa watu matumaini hivyo kupunguza mzigo wa mashinikizo kwa serikali na pia wanasiasa wanapata unafuu. Ndio maana hapa bongo utaona wanasiasa wetu hawaishi kwenda makanisani na Kuna muda unasikia serikali imewapa kanisa Fulani fedha au Kuna wachungaji Fulani Fulani wamepata milungula. Zingatia fedha za Escrow mpaka wachungaji na mapadri walipata gawioππππ€
Yapo mengi sana ya kuandika lakini naomba niishie hapa, huku nilipo mvua inanyesha sana Leo na shughuli zangu zinasuasua.
Bibilia ni kitabu kikongwe kuliko QurβanHapana dini ndio zimetumia vitabu vitakatifu kujianzisha. Binafsi sijawahi kuisoma kuruani ila nikisikiaga baadhi ya mahubiri ya masheikh huwa naona kuruani na biblia tofauti yake ni ndogo sana.
Kwenye biblia anaitwa YESU kwenye kuruani wanamwita Issa bin Mariam.
Manabii wengine wote pia waliopo kwenye biblia wanatambulika katika kuruani pia.
Ahaaaaa we mjuzi wa mambo kweli kweli nimeipenda hiii π₯π₯Ukitaka kujua historia ya dini inabidi ukasome historia ya Roma Empire. Roma empire imetawala Dunia muda mrefu sana na Roman Empire ndio chanzo Cha dini na dini ya kwanza kabisa ni Roman Catholic Church.
Achana na Uyahudi, uyahudi ilikua ni tamaduni za watu wa Israel na ndio maana hata Pilato alikataa kumuhukumu Bwana YESU.
Kwa kifupi dini ya kwanza ni Roman Catholic church, ikafuatia dini ya Lutheran, Martin Luther alianzisha Lutheran church baada ya kuona Roman inatumika kukandamiza watu. Yaan Roman ilitumia biblia kuwatumikisha watu na ndio maana waumini wa Roman Catholic hadi Leo hawana utamaduni wa kusoma biblia. Yaani wao biblia anaisoma padri tuu bhasi.
Baada ya Martin Luther dini iliofuatia ni Anglican na hii dini alikuja baada ya Mfalme wa Uingereza kutaka kuoa mke mwingine na Roman Catholic church wakamkatalia hivyo Mfalme wa Uingereza aliamua kuanzisha kanisa lake na kuwaamuru waingereza wote kusali katika kanisa lake. Anglican church ndio kanisa la kwanza duniani kuruhusu ndoa za jinsia moja binafsi hata sikushangazwa kutokana na historia yake.
Vitabu vitakatifu vilikuja kujaje mkuuHivyo dini hazikuleta vitabu vitakatifu Bali dini zinatumia vitabu vitakatifu.
Shukran mkuu πUnauelewa mpana Sana wa mambo
Ninachoweza tu kusema kuna mambo mengi sana tunapigwa kwenye hizi Imani zetu. Mi kuna wakati nachukulia haya mambo ya mapepo, majini, sijui moto wa milele nk ni wajanja wachache tu waliamua kutukondoosha ili tujikute tunayatafakari na wakati mwingine kuyaamini mawazo Yao.Shukran mkuu π
Karibu sana
Kama Una amini kuna creator basi huoni kuwa kuna haja ya kuweka guidelines na Sheria za jinsi ya kuishi, maana kama ameweza kuweka ulimwemgu vizuri basi vyovyote vile lazima atakuwa ni intelligent being na lazima aweke Sheria kwenye nyumba yake na hizo Sheria kuna Ambazo zitakuwa ni strict na punishment inahitajika ili kuweka balanceNikitumia reason naona kabisa kuna mtu alikaa akaunda gari
Nyumba ikisimama kuna mtu kaijenga nk..... I mean kila kitu tunachokiona kuna muanzilishi behind
Kwa mantiki hiyo hata hii dunia inaweza kua ina creator lakini sitaki kuamini kua huyo creator ni huyo wa kwenye vitabu vya dini Ukiosoma kwa akili bila vitisho ni kama tumepigwa
Yoda upo nime miss zile nyuzi zako sizioniMengi ni magonjwa ya akili tu
Kabisa mkuu mie zamani nilikua mnazi wa dini sanaNinachoweza tu kusema kuna mambo mengi sana tunapigwa kwenye hizi Imani zetu. Mi kuna wakati nachukulia haya mambo ya mapepo, majini, sijui moto wa milele nk ni wajanja wachache tu waliamua kutukondoosha ili tujikute tunayatafakari na wakati mwingine kuyaamini mawazo Yao.
Wanasema ukilala ni nusu ya kifo sasa ukifa itakumbuka nini?Nadhani unapofariki dunia kila kitu kinakoma hapo labda kama Mungu au nature itaamua kukutumia vinginevyo huko baadaye. Maana chukulia unapokuwa umelala fofofo hakuna kitu unachokuwa unakumbuka hujui jinsia yako, hujui kama una familia, unaishi wapi, umelala wapi, jina lako Nani, Una elimu gani nk yaani kila kitu haujui hata kama una watoto 1000 humjui hata mmoja usingizini, sasa kama huo ni usingizi tu ebu fikiria juu ya kifo.
π€Ahaaa sawa
ππππVizuri mkuu
Ni maisha tuu, and still this dream live in me.Aiseee sijawahi kufika huku noma
Siwezi kupokea Hongera mpaka uniambie pole ya Nini hii. Tafadhari niambie kwa upole mkuuπππ«£Mambo ya kula maisha hongera na pole pia
Hapa kwenye kuokoka unapatengaje na dini?
ππππHongera sana mkuu
Labda nitolee maelezo kidogo, binafsi nimemjua Mungu kupitia dini lakini watoto wangu au watu wengine waliokaribu namimi siwezi kuwashauri wapitie katika dini ili kumjua Mungu.Hapa upo kwenye ile line uliyoikataa ya dini
Mkuu nimesali kanisani miaka 5 tuu, kwasasa nakwenda mwaka wa3 sijawahi kuingia kanisa lolote, lakini siachi kusali na Mungu HAACHI kujibu maombi yangu.kubali tu kua uokovu wako ulikua sambamba na dini licha ya kua kule juu umesema unaweza kumjua Mungu bila dini
Sahihi, lakini unaweza kuwa unasoma biblia kama story.Mimi pia hufanya hivyo na ndio maana napata maswali na mashaka kuhusu
Maandiko ya hivi vitabu vya dini
Unakosea kusema ni batili.Kwahiyo injili ya kwenda mbinguni ni batili?
Maana umesema kama Mungu angetaka angetuua wote na tukaenda mbinguni
Baada ya kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha Yako. Kwa kufanya hivyo utampokea Roho Mtakatifu.Roho mtakatifu nampataje?
πππnaunga mkono hoja
mitaala ya shule iliandikwa na mtu mmoja?
nitafatilia kuhusu hili sitaki kutoa jibu bila uhakika
licha cha kua huenda ni wazo lilovumbuliwa na mtu na pengine akaamua kushirikisha wengine
Kwahiyo unasema Mungu mwenyewe anaweza kujifunua kwako si ndio
kama ni hivyo basi ajifunue kwangu pia
Ilikua ni njia tuu ambayo ilibidi nipitie, hata YESU alikwenda katika masinagogi na ni hao hao waliomsurubisha.Kwa maelezo yote haya upo sahihi lakini kumbuka na wewe uliokoka huko huko kanisani kwa wapiga diliπ π π
Bibilia ni kitabu kikongwe kuliko Qurβan
QURβAN ni copy ya bibilia hasa agano la kale kwenye bibilia
Ni kama mtu aliamua kuboresha tu kuondoa vitu Fulani kuongeza vitu fulani
Asante mkuu, nakukubali sana pia nakubali sana maada zako.Ahaaaaa we mjuzi wa mambo kweli kweli nimeipenda hiii π₯π₯
Kwangu Mimi naamini biblia ni mafunuo ya Mungu kwa wanadamu, lakini pia mengine ni historia ya yale Mungu alitenda kupitia manabii,.mitume na Bwana Yesu.Vitabu vitakatifu vilikuja kujaje mkuu
Kwani dosho si ni mpaka sasa hapa duniani tunaishi kwa sheria na kanuni ?Kama Una amini kuna creator basi huoni kuwa kuna haja ya kuweka guidelines na Sheria za jinsi ya kuishi, maana kama ameweza kuweka ulimwemgu vizuri basi vyovyote vile lazima atakuwa ni intelligent being na lazima aweke Sheria kwenye nyumba yake na hizo Sheria kuna Ambazo zitakuwa ni strict na punishment inahitajika ili kuweka balance
Sawa mkuuπ€
ππππ
Ni maisha tuu, and still this dream live in me.
Kwa kuruka viwanja kula maisha mkuu maana umekula starehe zote umeridhika ukageukia wokovu kwahiyo ladha ya maisha unaijua na ladha ya wokovu unaijuaSiwezi kupokea Hongera mpaka uniambie pole ya Nini hii. Tafadhari niambie kwa upole mkuuπππ«£
sasa mkuu wewe habari za Yesu ungezijuaje bila watu wadini maana wao ndio hufundisha habari zakeKuokoka sio dini, kuokoka ni kumkiri YESU Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yako. Kumkiri YESU hakuhusiani chochote na kanisa lolote wala dini yoyote. Na ndio maana Bwana YESU hakuacha kanisa Wala hakujenga kanisa na wala hajawahi kuwaamuru watu wejenge kanisa.
Bwana YESU hajawahi kukaa nyumbani kwa makuhani Wala kwa wazee wa kanisa, Bwana YESU hakuwatoa wanafunzi wake hekaluni wala kanisani Bali wanafunzi wa YESU walipatikana kutoka katika shughuli zao. Mfano Petro alikua mvuvi na YESU alimuita kutoka katika uvuvi.
Bwana YESU alikwenda nyumbani kwa mtoza ushuru akala chakula na kunywa. Zingatia mtoza ushuru alionekana kama mtu mbaya na asiyefaa kabisa mbele za uso wa watu wa makanisani lakini YESU ndio alikwenda kwake, Pia watu walimsema vibaya Bwana YESU kwamba anaketi na kula pamoja na watoza ushuru na jibu lake lilikua jepesi tuu kwamba nimekuja ili kukitafuta kilichopotea.
Sasa wao watamjuaje Yesu na kumkiri bila msaada wa watu wa dini maana wao ndio hutoa mafundishoMfano wa mwisho ni yule mwanamke kahaba, yeye alikubalika mbele za Yesu. Lakini je! alikua ni mtu wa kanisani? Unaona kwamba ili kumpata YESU hakuitaji kwenda kanisani au kuwa Mtakatifu sana bali kunahitaji kuwa na moyo wa utayari wa kumjua Bwana YESU.
ππππ
Labda nitolee maelezo kidogo, binafsi nimemjua Mungu kupitia dini lakini watoto wangu au watu wengine waliokaribu namimi siwezi kuwashauri wapitie katika dini ili kumjua Mungu.
Nitawaambia wamkiri YESU Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao alafu nitawashauri waanze kusoma biblia na Mungu atajidhihirisha kwao.
Mungu haachi kujibu maombi yako ?Mkuu nimesali kanisani miaka 5 tuu, kwasasa nakwenda mwaka wa3 sijawahi kuingia kanisa lolote, lakini siachi kusali na Mungu HAACHI kujibu maombi yangu.
Hapana nasoma na kuchambua kwa kinaSahihi, lakini unaweza kuwa unasoma biblia kama story.
Bila wokovu siwezi kujua ?Okoka kwanza alafu ndio uanze kusoma biblia.
Haya ulisema wewe kua wachungaji wanakosea kufundisha habari za kwenda mbinguniUnakosea kusema ni batili.
Mungu alipomuumba mwanadamu hakumuumba ili akaishi mbinguni HAPANA, mwanadamu aliumbwa ili atawale na kumiliki hapa duniani. Hivyo injili ya kwenda mbinguni sio batili Bali ni kwamba tutakwenda mbinguni na kurudi kuishi hapa duniani tena.
Hapa nina story ila leo naiweka kapuniUkisoma biblia kuna sehemu Yesu anawafundisha wanafunzi wake kusali anasema salini hivi " BABA YETU ULIYE MBINGUNI JINA LAKO LITUKUZWE, UFALME WAKO UJE, MAPENZI YAKO YATIMIZWE HAPA DUNIANI KAMA HUKO MBINGUNI, UTUPE LEO RIDHIKI YETU NA UTUSAMEHE MAKOSA YETU KAMA NASI TUNAVYOWASAMEHE WALIOTUKOSEA, USITUTIE MAJARIBUNI LAKINI UTUOKOE NA YULE MWOVU, KWA KUWA UFALME NI WAKO NA NGUVU NA UTUKUFU NA HATA MILELE AMEN."
Sawaaa mtumishi πKatika hiyo sala tunaona kwamba UFALME wa Mungu unatakiwa kuja hapa duniani, Je? ni nani wa kuuleta huo UFALME? Unadhani huo UFALME unakuja kwaajili ya nani?
Pia ukisoma biblia inasema Mungu hatofanya jambo lolote hapa duniani pasipo mwanadamu. Sasa huo UFALME nani atakae uleta hapa duniani kama Mungu hawezi kutenda jambo hapa duniani pasipo mwanadamu?
Mwisho utakubaliana namimi kwamba wachungaji wengi wanahubiri habari za mbinguni either kwa kujua au kutokujua. Wengi wa wachungaji wanahubiri hivi ili kuwavunja watu moyo na kuchukua fedha zao bhasi.
Ndio maana Bwana Yesu alisema kwamba siku za mwisho wengi watakuja kwa jina langu. Na endapo yakitukia haya na wakasema Yesu ameonekana huku au kule wewe usiende. Hivyo kupitia hili andiko utakubaliana namimi kwamba hatuupati wokovu katika dini Bali tunaupata wokovu kwa kumuamini Bwana Yesu na kusoma maandiko ya biblia.
Baada ya kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha Yako. Kwa kufanya hivyo utampokea Roho Mtakatifu.
Aiseeeeeeπππ
Chanzo cha elimu ni huko ugiriki, wao walifanya hivyo kwaajili ya falsafa zao. Ukisoma historia ya ugiriki na hao akina Plato, Aristotle na wenzao utaelewa vizuri.
Mantiki ya swali langu ni kwamba nilitaka ujiulize Isaac Newton alifundishwa na nani kuhusu physics and Law's?
Exactly, Mungu anaweza kujifunua kwako pia na hata sasahivi anaweza kufanya hivyo.
Cha msingi ni kwamba umkiri YESU KRISTO KUWA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO, kubali kutoka moyoni mwako kwamba Bwana Yesu aliacha enzi na mamlaka akashuka duniani akateswa, akasulubishwa na akatundikwa msalabani kwaajili yangu. Hivyo kupitia kifo chake na kufufuka kwake Mimi (taja jina lako) nimesamehewa dhambi zangu na nimefanyika mwana wa Mungu, hivyo ninahaki zote kutoka kwa Mungu kwasababu nimehesabiwa kuwa mwana wake kupitia Kristo YESU.
Tangu saa hiyo utakapo tamka maneno hayo amini lolote utakalomuomba Mungu amini kwamba amekupatia, haijalishi ni gumu kiasi Gani au Lina uzito kiasi Gani wewe amini kwamba limekwisha kuwa. Kama unahitaji kufanya kitu wewe nenda kakifanye utamuona Mungu huko huko.
Ilikua ni njia tuu ambayo ilibidi nipitie, hata YESU alikwenda katika masinagogi na ni hao hao waliomsurubisha.
Shukran usiongezeAnhaa nimekuelewa hapaπππ, sitaki kuongeza neno.
Nakukubali pia mtumishi wa bwanaAsante mkuu, nakukubali sana pia nakubali sana maada zako.
Thanks much and much appreciation to you.
Oooh sawa sawaKwangu Mimi naamini biblia ni mafunuo ya Mungu kwa wanadamu, lakini pia mengine ni historia ya yale Mungu alitenda kupitia manabii,.mitume na Bwana Yesu.
πππ€Sawa mkuu
Asante mkuu, lakini wokovu kwangu ndio top notch. Raha ya wokovu hakuna kujutia kama hizo starehe zingine.Kwa kuruka viwanja kula maisha mkuu maana umakula starehe zote umeridhika ukageukia wokovu kwahiyo ladha ya maisha unaijua na ladha ya wokovu unaijua
We ni mnomaa sana
Nikianza kuelezea hapa itabidi nipewe siku nzima, lakini elewa kwamba everything change.sasa mkuu wewe habari za Yesu ungezijuaje bila watu wadini maana wao ndio hufundisha habari zake
Nimekwisha kukueleza hapo kabla, nitawaambia waokoke wakishaokoka watampokea roho Mtakatifu huyu roho Mtakatifu ndio atawafundisha na kuwaelekeza.Sasa wao watamjuaje Yesu na kumkiri bila msaada wa watu wa dini maana wao ndio hutoa mafundisho
Mungu haachi kujibu maombi yako ?
Basi niombee nina shida na 500k leo leo mkuu π’π€£
Ndio, kwani utaweza kuingia darasa la kusomea udaHapana nasoma na kuchambua kwa kina
Bila wokovu siwezi kujua ?
Haya ulisema wewe kua wachungaji wanakosea kufundisha habari za kwenda mbinguni
ndio na mimi ni kakuuliza je kufundisha injili ya kwenda mbinguni ni ubatili?
Hapa nina story ila leo naiweka kapuni
Sawaaa mtumishi π
Aiseeeeee
Shukran usiongeze
Nakukubali pia mtumishi wa bwana
Oooh sawa sawa
Hongera sana furahiaπππ€
Asante mkuu, lakini wokovu kwangu ndio top notch. Raha ya wokovu hakuna kujutia kama hizo starehe zingine.
Shukran sana kaka ake πππNitumie nafasi hii kuwakaribisha ndugu, vijana na watu wote wampokee Kristo YESU maana yeye ni kweli na njia ya uzima.
Nikianza kuelezea hapa itabidi nipewe siku nzima, lakini elewa kwamba everything change.
Roman Catholic church ndio dini ya kwanza na Hawa walitumia dini kwa maslahi yao, akaja Martin Luther akarekebisha kidogo mpaka Leo tumefikia kupata injili ya kweli lakini imejaa ulaghai wa kula sadaka za waumini.
Bwana Yesu anasema katika biblia kwamba walikwenda lakini sikuwatuma.
Nimekwisha kukueleza hapo kabla, nitawaambia waokoke wakishaokoka watampokea roho Mtakatifu huyu roho Mtakatifu ndio atawafundisha na kuwaelekeza.
Labda unasoma biblia pasipo kuielewa, Ingekua Hawa wachungaji ndio YESU aliwaachia kondoo wake bhasi kusingekua na haja ya kupewa Roho Mtakatifu au Bwana Yesu asingemuomba Mungu kwamba atupatie msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu.
Wachungaji wanapiga sadaka kutokana na watu kutokujua Roho Mtakatifu.
Yes, mkuu Mungu haachi kujibu maombi yangu.
Hapa inabidi uwe na Imani, lakini kwa Leo kwasababu umeniamini natangaza kwamba hiyo fedha umekwisha kuipokea. Muamini Mungu wangu atakufanyia njia just relax and wait.
Ndio, kwani utaweza kuingia darasa la kusomea uda
Mkuu sorry Kuna errors nyingi sana kwenye reply comment yangu. Nikitulia nitaedit.Hongera sana furahia
Shukran sana kaka ake πππ