GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,262
Kuna dhana ambayo imekuwa ikisambazwa kwa kipindi flan sasa kuhusiana na Majini/Mapepo na pengine Neno Vampires. ukiangalia kwenye film na watu mbalimbali wamekuwa wakishangaza kusema kuna majini wazuri,kuna vampires wazuri au kuna mapepo wazuri. Majini/Mapepo ni nini?
Mapepo ni malaika walio anguka au walio asi kule mbinguni na yule shetani Imeandikwa Ufunuo 12:9 "Yule joka akatupwa, yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote akatupwa hata nchi na malaika zake wakatupwa pamoja naye. hawa haina shaka kwa asilimia 100 ni watumishi wa shetani kama ambavyo Mungu anawatumishi wake ambao tunawaita Malaika. Majini ni Kinyume cha Malaika na ni wazi kuwa hawawezi kufungamana au kushikamana hata siku moja .
Majini yamekuwa yakifanya kazi mbali mbali kulingana na jinsi ambavyo yamepewa job descriptions zao. wanahusika na mambo mengi mengi tunayo yaona katika maisha ya kila siku. Kuna ambao wamewahi kuyaona yakiwa katika mwili huu wa Binadamu na pia hata wa wanyama kwa sababu yana uwezo wa kuchukua sura na maumbile mbalimbali. kuna hata ambao wameoa au kuolewa na majini ukiacha wale wanaofanya nayo mapenzi usiku yakiwa katika sura za watu wanaowafahamu au wanawake warembo n.k
kuna ambao wanasaidiwa na haya majini kutambua(pepo wa utambuzi, utabiri n.k) kuna majini watu hupewa ya bahati au hata uponyaji wa kimazingara kwa masharti fulani. Shetani ana uwezo mkubwa kabisa wa kufanya miujiza. Hivyo Miujiza si uthibitisho wauwepo wa Mungu sehemu flan maana Shetani Ni muongo na mhadaaji hivyo huweza kuwahadaa binadamu kwa namna nyingi.
kuna watu ambao wamekuwa wakiabudu na majini, wakisali na majini,wakishirikiana na majini na pengine kuya categorize kuwa kuna mabaya na mzuri. Kwa Mfuasi wa Mungu wa ukweli hakuna jini zuri hata moja. Sema shetani anayatumia kuwahadaa binadamu kwa lengo lake lile lile la kuwaingiza Jehanamu.
Yohana 8:44 "Ninyi ni watoto wa baba yenu shetani; kwa hiyo mnapenda kufanya maovu ... na anadhihirisha asili yake kwa kuwa yeye ni mwongo na ni baba wa uongo. Shetani ni muongo na katika hili hakuna UONGO MTAKATIFU. uongo ni uongo. HAKUNA UONGO WA NIA NJEMA uongo ni uongo. Baba wa Uongo ni Shetani na waongo wote wanatenda kazi ya baba yao. Leo hii hata mchungaji akitumia uongo Kumbadilisha mtu kuwa Mkristo huyu Mchungaji anatenda dhambi.
Nisiwachoshe kwa maneno mengi . haya ni aina ya majini na kazi yanayofanya hapa duniani kwenye uwepo wa binadamu. haya yameandikwa na mwanazuoni mmoja akielezea kwa umakini Kazi za Majini.inasemekana yapo Majina nyingi sana lakini hapa yamezungumziwa 69 tu.
Kuna aina nyingi za majini baadhi yake ni kama:-
1) Murafari – hili ni jini linalozuia mafanikio ya kupata fedha, mafanikio ya elimu nk.
2) Latifu – hili jini linaloleta ufukara, mateso, hata ukipata pesa matumizi yake yanakuwa ni hovyo
3) Jahari – Jini anayetumiwa kuiba mali na kuzuia biashara kustawi
4) Hasinani – jini hili ni la fujo, ulevi wa pombe, bangi na dawa za kulevya
5) Jube – jini hili linasababisha utasa
6) Subiani – jini la ajali, linasababisha wanawake kutokupata siku zao, na kunyonya damu za akina mama siku zao za hedhi ambapo wanapata maumivu makali sana.
7) Sumil – jini hili huangamiza mimba changa
8) Waidadat – jini hili husababisha wanaume kuvaa hereni kusuka nywele na kutoga masikio.
9) Alibadiri – jini la kifo, likikupata kifo hutokea wakati wowote.
10) Anzura – Linawazuia vijana wa kike na kiume kuolewa/kuoa
11) Maimuna – linawakamata wanaume wenye ndoa zao hadi ndoa inavunjika
12) Makata – linasababisha vifo vya mfululizo kwenye familia
13) Faziur – jini la maandishi. Unaletewa barua ukiisoma tayari umelikwaa
14)Subha – jini hili linasababisha mtu kuwa na kiburi sana na kujiinua.
15) Maulan – jini linalofanya watu kuwa kichaa, au mtu ananuka wakati wowote
16) Al-maul – jini hili linamfanya mtu kuwa ombaomba
17) Zuhura au Zohari – Jini la fujo
18) Araba – Jini hili linafanya mtu apende sana ubani
19) Farkh – jini hili linatumwa hasa kwa wanaomfuta Yahweh kuangalia kama ana kinga (Wokovu)
20) Baradi – jini hili likikupata basi ndoa yako ni lazima itavunjika.
21) Shamsu – jini hili huvaa umbile la binadamu kwa sura yoyote.(sasa hivi mitaani majini haya yapo mengi sana)
22) Abuni – jini wa hasira
23) Kaimu – jini la kutambua nyota za watu
24) Tajuruni – jini la utajiri wa kichawi – ni lazima utoe kafara ya mwanao, mkeo au kufanya tendo la ndoa na mama yako mzazi
25) Al-taliki – jini hili linapoteza watu katika mazingira ya kutatanisha
26) Naluju – linasimamia lugha
27) Janatusi – linatumwa alfajiri kabla ya adhana kuleta usingizi kwa wanaomfuta Yahweh wasifanye sala
28) Riyaron – jini hili linamfanya mtu afanye kila kazi peke yake
29) Zaitun – Jini hili linasababisha wasichana kuwa na maringo
30) Ruyati – jini linalosimamia ndoto mbaya
31) Al-rahabu – jini linalosababisha hitilafu ya umeme
32) Hadharaji – jini hili linafanya kazi ya kukata kichwa cha mtu ili wapate damu
33) Anazihaji – jini hili ndilo linachukua roho yako ukifa kwenye dhambi
34) Nghruk – linasababisha maafa
35) Munkara – jini la makaburini
36) Takadhuru – jini linaloleta mali za masharti.
37) Rabindi – jini la linawafanya watu flani wawe na roho mbaya ,ukatili na kufanya fujo.
38) Balishebe – jini la magonjwa yasiyopona
39) Sajiduri – jini linalokusaidia kupata pesa, kisha zinapotea kwa haraka
40) Rumiran – linasimamia uwongo
41) Lairlihabi – linasimamia hofu, kutojiamini na kukata tamaa
42) Rohani – jini la mateso na fujo
43) Betrah – jini hili linasimamia mapambo, kwa mwanamke huwa anajipamba isivyo kawaida, halikadhalika mwanaume
44)Hanshari – linatumiwa sana na waarabu kulinda maduka yao
45) Walihuni – linazunguka nyumba likilinda biashara
46) Kurasih – jini la kupoteza fahamu
47) Tarik – huondoa amani nyumbani, kazini. Linafanya watu wasielewane
48) Atha – mungu wa kiarabu wa kuabudu sanamu
49) Munakir – linapoteza watu kimiujiza
50) Malik – jini la kumiliki biashara
51) Ghatabu – jini la kulainisha macho wa wanawake. Wanakuwa wanarembua
52) Khatuh – jini la uchawi wa kuchukua kucha, nywele na nguo za ndani
53) Fanken – jini hili linasimamia mtu kuzunguza kiswahili cha pwani
54) Zamzam – jini la marashi na kusimamia mikataba ya imani. Mtu anaposilimishwa basi hutupiwa jini hili kupofushwa akili yake.
55) Mukitala – linatumwa kuangalia kinga za watu
56) Laufili – jini la uvivu
57) Al-khah – linakula damu iliyoganda
58 Abasaa – jini la hasira wivu na jeuri
59) Aherumi – jini la homa za mara kwa mara
60) Muba – jini la maradhi ya kuambikiza
61) Kamariram – jini hili linatoa kinga kwa majambazi
62) Zubiran – jini la uongo na uzushi
63) Abadi – Jini la wizi, umalaya na ujambazi
64) Muzamili- jini la matambiko ya kiarabu
65) Ruhadi – jini la wizi, umalaya na umasikini
66 Usuran – jini la wizi, umalaya, ujambazi na umaskini
67)Tubuyali – jini hili linamfanya mtu kuiba vitu vya ndani ya nyumba. Haibi nje ya nyumba
68) Zirach – jini la wizi, umalaya, ujambazi na umaskini
69) Ashuran – jini la utasa na maradhi ya akina mama