Majina ya wauza Unga maarufu wa JF

Majina ya wauza Unga maarufu wa JF

Joined
Sep 9, 2013
Posts
52
Reaction score
28
Kwa kua viongoz wa nchi wanaogopa kuwataja wahusika wanaojihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya...Nachukua fursa hii kwa ujasili mkubwa na tena nikiwa na uhakika wa asilimia mia kuwataja wahusika ambao wamo katika folamu hii ya jamii.

1. Mamdenyi

Huyu anamiliki majumba ya anasa. Ana rosheni pale kariakoo kama 4 ivi na anadalala zinazopiga ruti Mwenge posta zaidi ya 30.

2.Lara1

Huyu kijana mdogo kabisa lakini machachari. Mara nyingi amekua akiongozana na Riz1. Anapenda kutembelea gari aina ya vogue nyekundu na pia ndiye mwenye jengo jipya kama unaelekea posta limeandikwa VIVA..maeneo ya redcross. Mara nyingi amekua akifanya matanusi zanzibar na kusafiri mara kwa mara nje ya nchi. Ana vitega uchumi vingi sana hapa mjini na ana share 80% ya vodacom.

3. Heaven on earth

Huyu richa ya umaarufu alionao.anamiliki ukqasi mrefu sana. Mara ya mwisho alijitangaza anapesa zinazozidi bilion 90 kwenye account yake. Anapenda sana kuhudhuria kwenye bendi za taarabu hasa ya mashauzi claasic ambapo huwatunza kwa hela nyingi sana. Ndiye mmiliki wa bajaji zote za mwenye na ile stand ya makumbusho.

4. Watu8

Jamaa anapenda kubadilisha magari na wanawake kila saa. Ni mtoto wa kigogo. Mara ya mwisho alikamatwa South Africa na kuachiwa kimya kimya but ilisemekana alihonga tirion 2 za kibongo. Yeye ndio mtanzania mwenye gari la gharama kuliko wote hapa tz.

Wengine nitaendelea nao kesho...

Tanzania bila madawa inawezekana.
 
Watu8 ni hatari sana huyo jamaa. Ana asili ya kimererani. Kukutoa roho yeye kwake ni kitu kidogo sana. Inasemekana yeye ndiye mmiliki wa boxer zote zinazofanya matukio hapa mjini na pia ana vijana ambao wapo trained kumwagia watu tindikali.
 
Aisee!

Mleta mada Umetumia usani vizuri!
Kwahiyo kumbe yule chama ndiye anamletea Mamndenyi hayo masembe, aisee!
Huyu mdada alikuja juzi A-town akamkabidhi LiverpoolFC Funcargo 3!
 
Last edited by a moderator:

wewe paka shume kama ulivyokoma kwenye ziwa mamiyo basi koma Chama huyu wa JF hutamsikia kuuza wala kuramba sembe tena shika adabu yako ikushike; sina shida ya maisha kama unavyodhania; mimi nipo safi naishi kwa kipato halali; elimu ndio imekuwa ufunguo mkubwa wa maisha yangu!
cc Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
heee godoro-la-comfy
unanitakia nini mie, Mamndenyi ni mkulima jamani
Hivi kweli umeamua kunipaka hivi,

Halafu ngoja nikutafutie dawa yako. chama ona madogo wanavyotia giza humu.

Kwa kua viongoz wa nchi wanaogopa kuwataja wahusika wanaojihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya...Nachukua fursa hii kwa ujasili mkubwa na tena nikiwa na uhakika wa asilimia mia kuwataja wahusika ambao wamo katika folamu hii ya jamii.

1. Mamdenyi

Huyu anamiliki majumba ya anasa. Ana rosheni pale kariakoo kama 4 ivi na anadalala zinazopiga ruti Mwenge posta zaidi ya 30.

2.Lara1

Huyu kijana mdogo kabisa lakini machachari. Mara nyingi amekua akiongozana na Riz1. Anapenda kutembelea gari aina ya vogue nyekundu na pia ndiye mwenye jengo jipya kama unaelekea posta limeandikwa VIVA..maeneo ya redcross. Mara nyingi amekua akifanya matanusi zanzibar na kusafiri mara kwa mara nje ya nchi. Ana vitega uchumi vingi sana hapa mjini na ana share 80% ya vodacom.

3. Heaven on earth

Huyu richa ya umaarufu alionao.anamiliki ukqasi mrefu sana. Mara ya mwisho alijitangaza anapesa zinazozidi bilion 90 kwenye account yake. Anapenda sana kuhudhuria kwenye bendi za taarabu hasa ya mashauzi claasic ambapo huwatunza kwa hela nyingi sana. Ndiye mmiliki wa bajaji zote za mwenye na ile stand ya makumbusho.

4. Watu8

Jamaa anapenda kubadilisha magari na wanawake kila saa. Ni mtoto wa kigogo. Mara ya mwisho alikamatwa South Africa na kuachiwa kimya kimya but ilisemekana alihonga tirion 2 za kibongo. Yeye ndio mtanzania mwenye gari la gharama kuliko wote hapa tz.

Wengine nitaendelea nao kesho...

Tanzania bila madawa inawezekana.
 
Last edited by a moderator:
chama pole dear,
hawa vijana wanajikanganya tu humu jf.

Najua PakaJimmy amesomeshwa na hela za unga
wanaishi kwa hela za unga, akajua kila mtu ndo hivyo,
pole but.

wewe paka shume kama ulivyokoma kwenye ziwa mamiyo basi koma Chama huyu wa JF hutamsikia kuuza wala kuramba sembe tena shika adabu yako ikushike; sina shida ya maisha kama unavyodhania; mimi nipo safi naishi kwa kipato halali; elimu ndio imekuwa ufunguo mkubwa wa maisha yangu!
cc Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Paw njoooooooooooooo!!!!
tuondolee hii kitu hapa please!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Paw njoooooooooooooo!!!!
tuondolee hii kitu hapa please!!!!!!!
Mamndenyi
Acha waiache tu zaidi majungu; fitina na uwongo kuna nini cha kushtua? Hii inekuwa ya babu ingeondolewa siku nyingi sana iache tu hayawani hawa walioshindwa na maisha wajifariji kwa kutunga uwongo!
 
Last edited by a moderator:
Like intellectual you should have evidence when your talking about sensitive matter, no evidence no right to provide your opinion
 
Inaezekana wa2 2mekuelewa vbaya isije ikawa unazungumzi unga wa ugali/azam(ngano)
 
Back
Top Bottom