Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

Hawezi kuitoa hadharani kwani ataumbuka, kwa sababu, mtoto wake ridhiwani ndio kinara namba 1 wa kuingiza madawa ya kulevya nchi, kupitia ungizaji wa makontena ya sukari... JK na Ridhiwani ni zaidi ya JANGA!!
 
Mbona Idd Azzan mmemsahau!, ingawa nasikia hata yeye Mheshimiwa sana, JK, ni mtu wa hizo deal, sasa sijui anaogopa akianza kuwataja wenzake na wao watamalizia kwa kumtaja na yeye pia, tena kwa ushahidi, mbona yatakuwa mambo!
 
mkuu nasikia watakatifu wameiomba serikali isiweke wazi maana kondoo wa bwana wangekimbia kwenye masinagogi kwa kupoteza imani nao.
 
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete, kuwataka wananchi kuacha kulalamikia rushwa bila kuwataja majina waombaji na watoaji ili wachukuliwe hatua, baadhi ya wasomi wamepinga kauli yake wakidai si njia ya kumaliza tatizo hilo.

Wakizungumza na Tanzania Daima jana, wasomi hao walisema kuwa Rais Kikwete kama alikuwa na dhamira ya dhati katika mapambano ya vita hivyo, alipaswa kueleza hatua zilizochukuliwa kwa orodha ya wala rushwa na wauza dawa za kulevya alizodai anazo.

Akihitimisha kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru sanjari na kumbukumbu za miaka 13 ya kifo cha hatati Mwalimu Julius Nyerere juzi mkoani Shinyanga, Rais aliwataka wananchi kuwafichua wale wanaojihusisha na vitendo hivyo kwa vile wanaishi nao kwenye jamii.

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Bashir Ally, aliliambia gezeti hili kwa njia ya simu kuwa Rais Kikwete anapaswa kujiuliza ni kwa nini watu hawaitikii wito huo ambao unatolewa miaka nenda rudi.

"Watu wanajua kuwa wakithubutu kutaja majina ya wahusika watakiona cha moto. Lakini Rais anataka kufanya jambo la ajabu maana angetupa mfano wa nchi hata moja iliyokomesha rushwa kwa watu kutajana majina," alisema.

Bashir alifafanua kuwa hoja si kutaja majina ya watoa au wapokea rushwa bali kudhibiti mfumo wa rushwa usio wa haki, hivyo kushangaa kwamba Rais anawezaje kusema rushwa inamkera katika mazingira ya sasa.
"Kama unaruhusu mfumo wa watu kununua kura, elimu, afya na huduma nyingine za msingi utasemaje unakerwa na rushwa.

Anza kukerwa na mfumo wa matabaka ya wenyenacho na wasiyonacho, watoto wa viongozi kupenyezwa kimizengwe madarakani.

"Ukidhibiti mfumo unaochochea rushwa hizo utakuwa umetokomeza rushwa. Lakini hilo limeshindikana kwa vile wauza elimu, dawa feki, dawa za kulevya na mengineyo ni marafiki wa watawala na hawaguswi," alisema.

Msomi huyo alishauri kuwa kwa jinsi mfumo wa rushwa ilivyo sasa na kasi ndogo aliyoionyesha Rais Kikwete katika vita hiyo, ni bora kazi hiyo awaachie wengine wanaokuja wapambane.

Naye mhadhiri mwingine wa chuo hicho wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Dk. Benson Bana, alisema kauli ya Rais Kikwete anaiona kama ya kisiasa kutokana na kazi aliyokuwa akiifanya kuwa ya siasa.

Alisema kama hoja ni majina, listi ya watuhumiwa wa rushwa imekuwa ikitajwa na watu mbalimbali, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kwa watuhumiwa.

"Kama Rais mwenyewe alishasema anayo orodha ya wauza dawa na wala rushwa, alipaswa kuwaeleza wananchi kwanza ameifanyiaje kazi, kisha ndipo awahamasishe kuwataja watuhumiwa wengine," alisema.
Dk. Bana ambaye ni Mwenyekiti Mwenza wa Taasisi ya Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (Redet), alisema kuwa jambo analoweza kulifanya Rais kwa sasa katika kupambana na vita hiyo ni kutoa motisha kwa wale watakaowafichua watuhumiwa.

Alibainisha kuwa serikali inaweza kujipanga ikatoa motisha ya kati ya sh milioni tatu hadi tano kwa kila atakayetoa taarifa za wauza dawa za kulevya na wala rushwa ambazo zitathibitika kuwa za kweli.

"Kwenye jamii hawa watu wanaoitwa whistleblower's (wapiga vilimbi) wapo, hivyo wakipewa motisha watawataja wauza dawa hizo na wala rushwa ilimradi tuhuma hizo zithibitike ni za kweli," alisema.

Source : Tanzania Daima


 
Nilisikitishwa sana na kauli ya rais jakaya kikwete kuwa anayo listi au orodha ya watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya na kuwa wakiendelea atawataja.hadi leo tunaendelea kukutana na mateja wengi mjini na huu ni ushahid tosha kuwa hawajaacha kuuza dawa za kulevya sasa la kujiuliza hapa ni kuwa ni kwanini rais hawataji hadharani kama kuwapeleka mahakamani ameshindwa?.ukimya huu hasa unalenga kumlinda nani na kwa maslahi ya nani?
 
Riziwani kikwete naye ni miongoni mwao,alikamatwa china,alikamatwa na mzigo wa sh bil 4 bila Jk kufunga safari mtoto alikuwa anapoteza maisha.acha kwenda yy ilibidi atoe sehemu Tanzania yenye gesi kwa ajili ya wao kuja kufua,coz rahisi wa china aliuliza je nitafaidika na nn Tanzania.
 
Mmojawapo si yule kiongozi wa dini aliyekuja juu sijui anatumiwa na wauzaji sijui na yeye anahusika sijui anapokea sadaka zao. Only god knows.
 
Riziwani kikwete naye ni miongoni mwao,alikamatwa china,alikamatwa na mzigo wa sh bil 4 bila Jk kufunga safari mtoto alikuwa anapoteza maisha.acha kwenda yy ilibidi atoe sehemu Tanzania yenye gesi kwa ajili ya wao kuja kufua,coz rahisi wa china aliuliza je nitafaidika na nn Tanzania.

Viwanda vya kufua uongo
 
Ni muda mrefu umepita tangu atufungukie watanzania kuhusu kuwa na orodha ya wauza unga na majina yao. Ila kwa tetesi za majuzi tumeamini kweli raisi kikwete anayo orodha ya wauza unga nyumbani kwake.
 
Chama Cha Magamba aka Chama Cha Madawa hakiwezi acha biashara yake yenyewe kwa makelele yenu ya humu jamvini. Biashara hiyo imewalelea familia zao na vyeo vyao na ndio msingi wa chama. Iweje leo waikache?
Labda wawe wamepewa mrabaha mkubwa migodini.
Mheshimiwa anaiangalia kama gratuity yake akirudi zake kuubwaga moyo.
Acheni hizo jamani.
Elekezeni nguvu kwenye kutoa maoni yenu tupate katiba mpya itakayowafungia mbali wakiondoka madarakani.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Viwanda vya kufua uongo
unajua ule ukweli ulipoanikwa hapa JF, uliondolewa haraka haraka lkn ilikuwa too late watu tayaritushainyaka. Sio uwongo mkuu, hapa huwa hapatupiwi majungu.

kumbuka wazalando katika taifa hili wapo. Kama wewe ni mla rushwa mkubwa na unawalinda wenzako kuna watu hawawalindi mkuu
 
Back
Top Bottom