Majina ya watoto wa kike wa kikurya

Rangi 2

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
336
241
Napenda kupata majina ya watoto wa kike tukiachana na yale ya kawaida:
Bhoke
Rhobi
Ghati
 
Nyamtondo, Nyansatu na mengine kadhaa mliyotaja sio ya kikurya ni ya kikwaya au kijita au kiruri...
 
Ongeza tena:

Wegesa (Mwanamume Magesa)
Nyamarwa (Mwanamume Marwa)
Nyambura (Mwanamume Wambura)
Motongori
Nyamboge
Wankyo
Wikori
Nyanswe (Pia wanaume)
 
Back
Top Bottom