Majina ya Wanawake wa JF

Hahahaha SIMplicty you can't be serious...ujue and vise versa is true
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kumpm Lady doctor, Smile, Evelyn Salt, ujionee mwenyewe - at ur own risk.

Bahati mbaya hakuna kati ya hao ambao nahitaji kufanya hivyo
Halafu siwezi kufanya hivyo ili nikuthibitishie wewe
Nitafanya hivyo kama nahitaji kufanya hivyo na kwa sababu maalum

Halafu unajuaje kama sijawahi kum-PM yoyote humu?
Yule wewe unaedhani ni mgumu kwa wengine ni laiiiiiin kama mtu anakula maini vile

Kwa taarifa yako tu hakuna mwanamke mgumu!
Hilo tunalijua sisi watu wazima!
 
Kuna vitu vya maana vya kuandika kila kona,
Sasa inakuwaje unatajataja majina tuuu, thread nzima tena kwa vitu visivyo na maana?

Watu wanataka wa-drow attention za wadada
Wengine humu ni mijamaa lakini inajidai mijike
Watu unadhani una m-PM dem kumbe jamaa!
Chezea mashavu wewe!
 

Halafu kuna haya majibu mengine "aku". - tinna cute
 
Last edited by a moderator:
Watu wanataka wa-drow attention za wadada
Wengine humu ni mijamaa lakini inajidai mijike
Watu unadhani una m-PM dem kumbe jamaa!
Chezea mashavu wewe!


Haya basi tupe brief account ya historia ya Tanzania kabla ya Uhuru kama kweli upo serious mkuu. Nadhani hicho ni cha maana. Au Tueleze kwa niaba ya JK kwa nini nchi ni maskini na wakati ina rasilimali nyingi?
 

hahahaa......... Baelezee, naona hawalijui hilo lol!
 
Last edited by a moderator:
hahaaha, yaani mie unanionea aisee.
mie nakuelewa sana hadi nnaandikaga notes juu yako. nipe mtihani ndo utaona hiyo 96% inavyopaa.
mjeda hajapo, yuko imara kama kipara:A S 39:
King'asti hakika nakumiss ila problem is not me, the problem is you to understand me.

Acha basi kunibania white best!!!!

Mzima mjeda? Have a quality day.
 
Haya basi tupe brief account ya historia ya Tanzania kabla ya Uhuru kama kweli upo serious mkuu. Nadhani hicho ni cha maana. Au Tueleze kwa niaba ya JK kwa nini nchi ni maskini na wakati ina rasilimali nyingi?
Cha maana ni nini?
Nani amesema ni cha maana?
 
Simplicity mie umenipendelea bwana........nakata rufaa...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…