Lenana
JF-Expert Member
- Oct 10, 2010
- 421
- 79
mbona sijibiwi?
ubunge ni nafasi ngaapi????????????
Ubunge wa EALA ni nafasi TISA (9) kwa kila nchi mwanachama na katika nafasi hizo TISA (9) moja inakwenda kwa wapinzani.
Source; www.eala.org
mbona sijibiwi?
ubunge ni nafasi ngaapi????????????
Yaani mkuu una maana wapinzani hata wakiwa na mbunge mmoja kwenye bunge la nchi wanapewa nafasi moja na wakiwa na 49% ya wabunge kwenye bunge la nchi husika nafasi bado ni moja? Nilikuwa nadhani kuna uwiano fulani unaozingatiwa.Ubunge wa EALA ni nafasi TISA (9) kwa kila nchi mwanachama na katika nafasi hizo TISA (9) moja inakwenda kwa wapinzani.
- Jamani heshima yenu sana JF wote niliowakosea nawaomba radhi sana, tulianza na keyboard sasa ni wakati wa vitendo, kaazi!
AHSANTENI!
William.
Ubunge wa EALA ni nafasi TISA (9) kwa kila nchi mwanachama na katika nafasi hizo TISA (9) moja inakwenda kwa wapinzani.
Source; www.eala.org
Nimesoma nimeona haijatamka waziwazi composition zaidi ya kusema ni 9 kwa.kuzingatia gender balance. Imeacha madaraka kwa mabunge ya nchi husikaKwa hiyo nafasi 4 kwa wanawake na 4 kwa wanaume?
mbona sijibiwi?
ubunge ni nafasi ngaapi????????????
Nimesoma nimeona haijatamka waziwazi composition zaidi ya kusema ni 9 kwa.kuzingatia gender balance. Imeacha madaraka kwa mabunge ya nchi husika
Mkuu kwa Tanzania lazima ibalance kimuungano na kijinsia! Tuna shida ya kubalance mambo kapokuwa wenyewe hatujabalance!Maana nimeona pia kuna walipendekezwa kutoka Zanzibar. Kama haitabalance kijinsia, labda kimuungano?
Hongera mwan JF Ndugu William John MALECELA
Jifue vizuri upite hatua zilizobaki mkuu
Hongera sana Willy Malecela.