Majina ya waliopendekezwa kugombea EAC kutoka CCM

nlikuwa nmesahau ctali profile ya willy maana namjua hadi mzee wake. waliobako naombeni profile zao. nape waweza nsaidia kwa hili.

Mkuu na ya Adam Kimbisa pia unaitaka. Dr. Mndolwa na Bhanji pia? Hawa nadhani wamekuwa machoni mwetu kupitia nyadhifa zao.
 
mmmh! mkuu unampa hongera ya nini wakati hii ni hatua ya awali sana! nafasi zenyewe kama sikosei ni NANE tu

NI KWELI nafasi ni 8 tu lakini kumuka kuwa kabla ya hapo walikuwa ni 80,mpaka kupata nafasi hiyo ya kuteuliwa na kuingia ktk kupigiwa kura anahitaji pongezi

kinachofuata sasa ni yeye kupiga kampeni zenye tija

Hongera mwaha malecela ndio njia hiyo,shindwa wewe tu
 
Na Mnyeti, mzee wa nyeti yumo, alitoswaga Tucta alikuwa pandikizi la ccm

Huyu jamaa kila nafasi inayojitokeza lazima agombee. Alishawahi kugombea uspika, rais wa CWT, Uongozi wa kitivo cha elimu UDSM nk. Kati ya nafasi zote alizogombea hajawahi kushinda. Labda safari hii atabahatisha
 
- Jamani heshima yenu sana JF wote niliowakosea nawaomba radhi sana, tulianza na keyboard sasa ni wakati wa vitendo, kaazi!

AHSANTENI!

William.
Mkuu piga basi japo kampeni hapa. Nina hakika wabunge wengi hupita hapa au muda wa kampeni bado.

Kama ukibahatika ukashinda, utaenda na ajenda gani kuuu huko kwenye Bunge la Afrika Mashariki?
 
mmmh! mkuu unampa hongera ya nini wakati hii ni hatua ya awali sana! nafasi zenyewe kama sikosei ni NANE tu

Ben hii hongera yako unamaanisha kweli?

Great thinkers amempa hongera kupitishwa na NEC a journey start with first step! Edson wewe pia ni katika wale wanaoamini siasa za chuki? I mean zile za kwanini Zitto ana urafiki na January? kama ndio basi watu kama nyie mkipata tu madaraka............................................
 
haka kabinti Fancy Kuhi si ndo kale kanapigaga vimibano vya hatari, mara nikasikia kamekuwa kaDC, nikashangaa. mh! kazi kwelikweli
 
- Jamani heshima yenu sana JF wote niliowakosea nawaomba radhi sana, tulianza na keyboard sasa ni wakati wa vitendo, kaazi!

AHSANTENI!

William.

Kama usingependekezwa ungewaomba radhi uliowakosea? Unafiki mtupu.
 
Back
Top Bottom