CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
- #21
Mie niliitwa makalikiti
Hahahaaa.... inaonekana nywele zako zilikuwa za singa afu nyingi eeeeh????
Mie niliitwa makalikiti
hahahahahaha mimi na raki yangu hadi leo tukikutana tuna itana majina ya utani mimi alikuwa ana niita kibodi na yeye nilikuwa na muita kitambi na haya majina yalioshika hadi leo hii.
hahahaaa.... Inaonekana nywele zako zilikuwa za singa afu nyingi eeeeh????
sanaaa! Zakaribia mgongoni best
Habari za usiku wanaCC....
Miss u mingi wapendwa, hope mko mwake mwake babaake!!
Dah, leo nimekumbuka majina ya utani enzi za utoto, hapa nitataja baadhi ya majina ya utani ya marafiki zangu wa utotoni na langu nitalitaja humohumo ila sitaliweka wazi maana kuna watu humu wanaweza kunistukia....
Nawe pia unaweza kuongeza jina lako au la marafiki zako wa utotoni!!!!!
Kuna dogo mmoja alikuwa akiitwa Pendo, yeye tulimtungia Pendo mshua alikuwa.mshua kweli, Dogo mmoja tulikuwa tunamuita Maudaga ( mihogo iliyokaushwa kwa ajili ya kusagwa kuwa unga) yeye huyu kichwa chake kila siku kilikuwa na vidonda donda visivyopona.
Mwingine tulimuita pengo tochi, baada ya kung'ooka meno mapengo yake yalikuwa makubwa kweli. Hata baada ya meno kuota jina lake la utani likawa pengo tochi...
Mwingine tulimuita Miss Coke.. huyu alikuwa msichana mweusi ti, yaan ule weusi wa mng'ao sana!
Mwingine tulimuita Mchomoko, yaan huyu msichana alikuwa anaongea saaana, afu alikuwa hajatulia, mara yuko. hapa mara kule ya ana kiherehereeeeeee........
Hebu ongezea!!!!!
Wakudata, jamaa alikuwa race sana.
Kumbe nawe unatoka Kanda ya ziwa
hahahaaa hivi lile jina lako la PIMBI mpakaleo wanakuitaga?
charminglady hivi watoto wa siku
hizi na wenyewe wanajiitaga haya majina kama sie zamani
Wananiita doctor love
charminglady hivi watoto wa siku
hizi na wenyewe wanajiitaga haya majina kama sie zamani
Msema kweli mpenzi wa mungu, mimi sekondari niliitwa jina la JASHO, coz ukiniitia binti natoka jasho mpaka natia huruma japo now ni jasiri na ninawatafuta kishenzi.