Majina ya utani(a.k.a) ya watanzania mashuhuri

Majina ya utani(a.k.a) ya watanzania mashuhuri

Dah ila kwakweli mkulu anakula bata jaman yani sijui nchi gani hajaenda huyu mtu,mpaka jamaica amefika,alaf ni mtu wa totoz kuliko maelezo
 
Dah ila kwakweli mkulu anakula bata jaman yani sijui nchi gani hajaenda huyu mtu,mpaka jamaica amefika,alaf ni mtu wa totoz kuliko maelezo

Do you mean bado anawinda katika umri ule? si amejukua? Kazi ipo!!
 
Diamond a.k.a nassibu domo wa tandale

Philip mangula a.k.a chichi dodo

Juma nature a.k.a pangu patupu

Ngwair (rip) a.k.a mimi
 
LUSINDE a.k.a.kibajaji, MZEE WA UPAKO a.k.a transformer
 
afande.... Kimaro a.k.a Saba Sita,huyu askari alisumbua sana jijini arusha na hili jina la utani linasemekana lilitokana na nambari aliyokuwa akiitumia kama polisi.
Alikuwa na uwezo wa kukamata vibaka kama nane hivi na kuwafunganisha mashati halafu anawaswaga kama ng'ombe kuelekea kituoni.
Baba yake tunda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom