Majina ya utani(a.k.a) ya watanzania mashuhuri

Majina ya utani(a.k.a) ya watanzania mashuhuri

Wakubwa hebu tujuzane majina ya utani yaviongozi(a.k.a),watendaji,wafanyabiashara na watanzania mashuhuri.Ikiwezekana tukumbushane sababu zilizopelekea watu hao kupewa majina hayo.

Mimi ntaanza na machache:


1.Julius K Nyerere aka 'Mchonga' aka Baba wa taifa

2.Ally H Mwinyi aka 'mzee ruksa'

3.Salmini Amour aka 'komandoo'

4.Steven Wassira aka 'Tyson'

5.John M Cheyo 'bwana mapesa'

6.Mizengo P Pinda aka 'mtoto wa mkulima'

7.Moshi William aka 'TX'
Tuendeleze list

GENTAMYCINE a.k.a Madenge!
 
Nape aka Vuvuzela,Nchemba aka Mzee wa kuteka,Jk aka Vasco Da gama,Juliana Shonza aka Kigodoro,Mtela aka Omoro
 
Pinda aka wapigwe!
Jk aka baba rizmoko!
Riziwani aka mwanamfalme!.(prince)

Mahita aka ngunguli!
 
Nasikia Muda Alioutumia Hewani (namaanisha Ndani Ya Ndege Ikiwa Hewani) Ni Mkubwa Kuliko Kawaida

Uzoefu wa rubani hupimwa kulingana na muda aliokaa angani na chombo. Sasa nasikia mzee Da Gama amekaa angani kuliko baadhi ya marubani walioanza kazi mwaka mmoja naamnisha 2005.
 
Gwajima a.k.a mzee wa hummer a.k.a mzee wa misukule
 
Jina maarufu la Kawawa lilikuwa ni Simba wa Yuda na sio muhogo mchungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom