Majina ya utani(a.k.a) ya watanzania mashuhuri

Majina ya utani(a.k.a) ya watanzania mashuhuri

afande.... Kimaro a.k.a Saba Sita,huyu askari alisumbua sana jijini arusha na hili jina la utani linasemekana lilitokana na nambari aliyokuwa akiitumia kama polisi.
Alikuwa na uwezo wa kukamata vibaka kama nane hivi na kuwafunganisha mashati halafu anawaswaga kama ng'ombe kuelekea kituoni.
 
MUHAMED HUSSEIN - MMACHINGA

SANIFU LAZARO - TINGISHA

EDIBILI LUNYAMILA - mwenye data msaada nimesahau

KHAMISI MWINJUMA - Mwana FALSAFA/Mwana FA

JOSEPH MBILINIYI - 2proud/SUGU

AMBWENE YISAYA - AY

JUMA MUHAMED - J MO

GWAMAKA - Crazy GK

KHALID MUHAMED - TID

AMIR KHAN - AMYNANDO/ NANDO
 
moyon mogelaa aka golden boy

malota soma aka ball juggler

Samuel sita aka mzee wa viwango
 
FILEMON NDESAMBURO A.K.A ndessa pesa.
JK MRISHO A.K.A handsome.
MECK SADIK A.K.A mzungu.
ALEX MASSAWE A.K.A mzee wa interpol
 
Tyson aka mzee wa Gombe National Park
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom