umekosa cha kuandika wewe ndugu!
aya bwana tushajua umeishi msasani na mikocheni miaka mingi
alafu hii post ni ya fb sio jf kwa great thinkers!
Majina ya kike ya uswahilini mengine ni Pili,Tatu,Asha,Fatuma,Sikudhani,sikujua,Taabu, na majina ya uswazi ya kiume ambao ni wauza maji au Matingo ni Rama na Mudi.
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?😛hone:
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?😛hone:
Huo ni UTUMWA sasa hayo majina yamekuongezea nini katika kipato chako? Fanya kazi acha Upuu-uzi!
Tusimlaumu kuna kitu kizuri anataka kuuliza,ila kakosa arts of building arguments..pia tusiendekeze spoon feed hapa JF..tuna mambo mazito ya kujadili mf namna gan rosources katika nchi yetu zitakavyotumika kuinua taifa,ni viongozi gan wenye uwezo wa kuorganize hizi resources kusaidia ktk elimu,afya na maji. Tuna katiba mpya mbele yetu. Mtoa maada tunatambua umuhimu wa kujadili vitu tofaut tofauti, na tunaheshimu swali lako lakin tunakuomba nenda kafanye research(u got research question) then utuletee majibu! Ila kwa sasa macho na akili zetu ni kwenye ujenzi wa taifa!
Cheap mind discusses about peopleNimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?😛hone:
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?😛hone:[/QUOTE
Hawezi kukuta Natalia vingunguti
Cheap mind discusses about people
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chausiku je umemsahauMi naona post yake ina hoja ya kujadili alichoandika kina ka ukweli kidogo mi nimeishi uswahilini na ni kweli majina ya kule kwetu ni shida, tabia, sikuzani.
Yapo mengi tu huku tandale kwa mtogole.Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti kubwa ya majina kwa wasichana wa uswahili na kwenye mageti makali?😛hone:[/QUOTE
Hawezi kukuta Natalia vingunguti
Unanukia udini wewe,na hiyo dhambi lazima ikuandame..!Waslam ndio majina Yao hayo mengine kristo.