Majina ya simu za Kichina

Wahindi wametengeneza simu zinzitwa spice zipo saba saba.
Moja ina projector.ina onekana vizuri kwenye giza pia ina tv,sh 150,000
Nyingine ina android sh 250,000
 
Wahindi wametengeneza simu zinzitwa spice zipo saba saba.Moja ina projector.ina onekana vizuri kwenye giza pia ina tv,sh 150,000Nyingine ina android sh 250,000
waindi bana wapo poa bidhaa zao nazo zinaitwa orgnl.sijui wanatumia leseni ya nokia?maana hawajifichi pia hata hizo os zinafanana.
 
Alafu watengenezaji sijui wote walikuwa madj maana ringtones ni full kelele

Wachina mbona kazi.
Basi ni Yutong, simu nayo inaitwa Yutong, pikipiki inaitwa Omari. Wametuweza kweli yaani kila kitu wao, umachinga, uuza mitumba, makahaba, wabeba zege, wauza barafu, kama ni uwekezaji basi tumekwisha. Kama alivyosema mdau mmoja kwamba rasili mali na mali ya asili yoote ikiisha wanatimua wanaachia jangwa tupu
 
Wachina mbona kazi.Basi ni Yutong, simu nayo inaitwa Yutong, pikipiki inaitwa Omari. Wametuweza kweli yaani kila kitu wao, umachinga, uuza mitumba, makahaba, wabeba zege, wauza barafu, kama ni uwekezaji basi tumekwisha. Kama alivyosema mdau mmoja kwamba rasili mali na mali ya asili yoote ikiisha wanatimua wanaachia jangwa tupu
omari? hahaaa
 
Mie nina simu mbili za mchina line 5. Nakamua wala sioni tatizo. Moja nimekaa nayo miaka 4 haijawahi pata shida yoyote.
Shida wengi hapa ni mabishoo wanaodhani kuwa na simu ya US ndio ukubwa na utajiri. Shauri yenu na ubishoo wenu. Sie tunakamua na mchina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom