wende
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 714
- 67
ukishaina simu yabeba laini zaid ya moja achana nayo
Apana,zipo cmu za line 2 ni original. Ila kuigundua ni ishu kwelikweli!
ukishaina simu yabeba laini zaid ya moja achana nayo
Kigezo kikubwa ni uwezo wa mteja mkuu.Halafu wachina wanatengeneza bidhaa kulingana na uwezo wa mteja. Ndio maana wanafanya biashara dunia nzima. Pengine waTz wengi hawana uwezo wa kununua simu na bidhaa nyingine za mswiss, mjerumani, mwingereza, n.k, ila za mchina special kwa nchi fukara km tz.
Hapana Mkuu! Samsung na LG wametoa simu zenye line mbili original. Ila Nokia na kampuni zingine sina hakika.ukishaina simu yabeba laini zaid ya moja achana nayo
zpo za nokia tayar za line 2 C02-0X series.Hapana Mkuu! Samsung na LG wametoa simu zenye line mbili original. Ila Nokia na kampuni zingine sina hakika.
Hizo Samsung za laini mbili zenyewe zinauzwa zinauzwa Afrika na India pekee ulaya na amerika wala hamna kitu kama hicho.Hapana Mkuu! Samsung na LG wametoa simu zenye line mbili original. Ila Nokia na kampuni zingine sina hakika.
ila mjomba nae si anakampuni inayo gonga copy kwa jina hilo?Mbo nikampuni ya siku nyingi na ilianzia ujerumani walikuwa wanatengeneza culculator
upo sawa.sio kweli mkuu samsung wanazo line 2 na lg nao wametoa line 2 org kabisa mkuu
Sasa hivi wajomba wanaweka kitu kama hicho so usije ukajidanganya nimeshuhudia kwa macho yangu n97 ikisoma hizo namba nikajagundua kwenye player hawana real player wao wana player yao ya kawaida tu ila wangeweka real player ningeingizwa mjini jamaa alikuwa anataka laki nne ya fasta wakati simu original inauzwa laki 9 hadi m1kwa Nokia *#0000# inakupa ni aina gani ya Nokia, Kama ni Feki aileti kitu
Wametoa pia jamii ya iphone inafanana kila kitu ila tofauti ni jina imeandikwa PHONE badala ya iPHONE. wezisana hawa sijui kwanini makampuni hayawashitaki hawa au sheria za hati miliki za majina na makampuni zokoje
aha wapi...iyo kanuni ukitumia kuproove NOKIA N8 ya mchina,inaonesha kilakitu safi kumbe sio.kwa Nokia *#0000# inakupa ni aina gani ya Nokia, Kama ni Feki aileti kitu
Wanayo nyingine inaitwa iPhcne. Wameiandika kwa kutumia fonts fulani, ukiangalia haraka haraka unaona kama iPhone. Pia niliona Phillps ambayo unaweza ukafikiri ni Phillips. Lakini ukienda kule kwao, hizo simu fake zina maeneo maalum ya kuuzwa. Huwezi ukaingia kwenye maduka ya serikali na makampuni makubwa uzikute hizo. Hizo zinauzwa sehemu maalum ambazo wachuuzi kutoka third world ndio wanaenda kuchukua vitu vya bei rahisi.
Kuna jamaa anatembeza mitaani anauza eti laki moja unusu ,ilibidi nishangae sana haiwezekani simu inayouzwa zaidi ya laki saba iuzwe chee namna hiyo,jamaa muuzaji akawa anadanganya eti kapata msiba na mtu kimfaache chake so ameona apate hasara sababu ya shida,nikajua huo ni uongo nilipojaribu kugusa screen haisogei kama simu orijino ni kama Iphone screen huwa haisogei(slide),tulimpombana kuwa huyo ni mchina akakiri kuwa ni kweli tumpe elfu hamsini,akaambulia makofi kwa kutaka kutapeli watu,bure aghali jamani tuwe makini na mbuzi wa kwenye gunia(vitu vya mkononi)Wametoa kitu nokia N8 kama wewe sio mjanja hauwezi kugundua kuwa ni ya mjomba mchina angalia juu kuna sehemu ya kuingizia pini ya mini hdmi ukiona wamebandika kilebo tu ujue hiyo sio yenyewe maana hawa jama wamejaribu kuigeza os ya n8 kabisa ukiingia kichwa kichwa umepigwa na bei zake ni laki na nusu na laki mbili wakati original inaanzia laki sita hadi 1milion
kumbe ndio maana....za kichina zipo poa sana.mimi mwenyewe natumia simu ya kichina inaitwa G-TIDE.Naipenda sana hasa mida ya asubuhi ikipiga alarm ya kukuamsha lazima uamke maanake mlio upo poa sana.
vp umestuka?maana wewe kila ukijitahidi kuwahi kazini unamkuta yeye kishafika.kumbe siri yamafanikio Ni G-TIDE.kumbe ndio maana....