Majina ya nchi hizi yametokea wapi?

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Wakuu,

Kuna baadhi ya nchi ambazo hujulikana kwa kiingereza kwa jinsi zinavyojulikana;lakini nchi hizo pia katika llugha yetu adhimu ya Kiswahili unakuta zinaitwa majina tofauti.Mfano nchi kama Malawi inaitwa hivyo hivyo kw lugha zote;lakini angalia nchi zifuatazo;

1.England- Uingereza

2.Egypt-Misri

3.Mozambique-Msumbiji

4.Portugal-Ureno
nk nk nk

Mwenye kujua asili ya maneno hayo ya kiswahili yenye kuonesha kubadili kabisa maana pana ya nchi husika atujuze.
 
4.Greec-Ureno

"Greec-Ureno"!!??
 
Greece/ugiriki
Portugal/ureno
 
Upuuzi mtupu, "Greec-Ureno"!!?? eti "nyie" ndo nguvu kazi ya Taifa, maskini nchi yangu Tanzania..duh!

ebu jibu hoja ya mleta mada...typing errors Ni kitu cha kawaida....na hata kama Ni kweli amekosea bado kosa haliwezi kuicrowd out dhima ya hoja aliotaka kuizungumzia.
 
Wakuu,

Kuna baadhi ya nchi ambazo hujulikana kwa kiingereza kwa jinsi zinavyojulikana;lakini nchi hizo pia katika llugha yetu adhimu ya Kiswahili unakuta zinaitwa majina tofauti.Mfano nchi kama Malawi inaitwa hivyo hivyo kw lugha zote;lakini angalia nchi zifuatazo;

1.England- Uingereza

2.Egypt-Misri

3.Mozambique-Msumbiji

4.Portugal-Ureno
nk nk nk

Mwenye kujua asili ya maneno hayo ya kiswahili yenye kuonesha kubadili kabisa maana pana ya nchi husika atujuze.
Ninalolijua hapo ni Misri tu. Kiswahili kilitoa neno Masry kutoka lugha ya kiarabu lenye maana ya nchi hiyo ya
Egypt.
Majina ya nchi nyingine sina uhakika nayo.
 
Nafikiri ni katika kutafuta Urahisi wa kutamka kutokana na Lugha yetu ya Kiswahili.
Hizo Nchi ulizozitaja zimeandikwa hiyo kwa Kiingereza. Zinaandikwa tofauti vilevile kwa Lugha ya Kiarabu;Kijerumani, Kifaransa;Kichina, Kijapani,Kirusi na kadhalika.
 
Wakuu,

Kuna baadhi ya nchi ambazo hujulikana kwa kiingereza kwa jinsi zinavyojulikana;lakini nchi hizo pia katika llugha yetu adhimu ya Kiswahili unakuta zinaitwa majina tofauti.Mfano nchi kama Malawi inaitwa hivyo hivyo kw lugha zote;lakini angalia nchi zifuatazo;

1.England- Uingereza

2.Egypt-Misri

3.Mozambique-Msumbiji

4.Portugal-Ureno
nk nk nk

Mwenye kujua asili ya maneno hayo ya kiswahili yenye kuonesha kubadili kabisa maana pana ya nchi husika atujuze.[/uliza kipindi cha Kiswahili Jumamosi kinachoanza saa 1:30 asubuhi Radio 1
 
Back
Top Bottom