Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 758
- 1,819
Wale wote wenye majina ya kikatili yafutwe kutumiwa mtaani.
Mfano wa majina hayo;
1. KIFARU
2. NG'E
3. ANAKONDA
4. BLACK MAMBA
5. PANYA ROAD N.k
Pigeni marufuku wale wote wenye vikundi au majina kama hayo.
Mfano wa majina hayo;
1. KIFARU
2. NG'E
3. ANAKONDA
4. BLACK MAMBA
5. PANYA ROAD N.k
Pigeni marufuku wale wote wenye vikundi au majina kama hayo.