Majina ya kuchekesha ya wanachama wa JF

Wewe unanipenda?

ahh mi love u bana..i wish nijue kimayai as u do...
n u seems 2b gud upstairs..zio masuto na magombano ya umu ndani ni kawaida tu..ndo yanafanya JF ikue..bt upunguze madongo kwa wale wapinzani wako...mnarushiana sana maneno sometmes...as if mnakaa nyumba ya kupanga chumba iki na kilae kumbe mwngne yupo ma londn .newyok mwngne yupo sinza bn mikocehn...

sina NYONGOMIE....siwez chukia mtu....mtu akileta wekundu mie nampa kubwa then maisha yanaendelea....nampenda tena afta kumchamba...
 
Rose bana....uwe unaandika kikawaida basi....
 
hahahaha! Mpinzani wa jadi sijui ana damu ya kunguni. Lol!
Haupiti mwezi hajatajwa tajwa.

hah hahhaa..naona leo atak KUTOA LA MOYONI...akifunguka apa mi simoooo...mchanga wa pwan simoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
kumbe hamisi kishindindo ndio nyani ngabu! Nisipoona post yako nakusahau.

hahh hahh hahhaaaaa nimecheka yaaan duu..nani?
...HAMISI KISHINDINDO?...ahhh i hatari...NN NIPO APA NJE NTAKUWA WAKILI WAKO ..KWA ili ahhahaa hahh husniyo imezd kg km kabisaaaa stak mieeee...!!!!!!!!!1
 
Usimsikilize huyo Mwajuma Kandambili…hana hili wala lile.
 
hah hahhaa..naona leo atak KUTOA LA MOYONI...akifunguka apa mi simoooo...mchanga wa pwan simoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
rose huyu mtu leo kanywea utafikiri kamwagiwa maji ya baridi. Mmh, hebu ongea nae chemba kama vp tumpeleke bichi kimba akaoge maji ya bahari atoe toe vinux.
 
Na wewe hunipendi?

Unanikumbusha baibo pale Yesu alipomwoliza swali Petero kwa zaid ya mara 3.
John 15-17

[h=4]15[/h]Walipokwisha kula, Yesu alimwuliza Simoni Petro, "Simoni, mwana wa Yohane! Je, wanipenda mimi zaidi kuliko hawa?" Naye akajibu, "Naam, Bwana; wajua kwamba mimi nakupenda." Yesu akamwambia, "Tunza wana kondoo wangu."

[h=4]16[/h]Kisha akamwambia mara ya pili, "Simoni mwana wa Yohane! Je, wanipenda?" Petro akamjibu, "Naam, Bwana; wajua kwamba nakupenda." Yesu akamwambia, "Tunza kondoo wangu."

[h=4]17[/h]Akamwuliza mara ya tatu, "Simoni mwana wa Yohane! Je, wanipenda?" Hapo Petro akahuzunika kwa sababu alimwuliza mara ya tatu: "Wanipenda?" akamwambia, "Bwana, wewe wajua yote; wewe wajua kwamba mimi nakupenda." Yesu akamwambia, "Tunza kondoo wangu!

mhh leo umekua mdiplomasia...aujawaka?
i lyk t.....husniyo jamann plz mwache yanga ..atak kufunguka leo..muacheeeeeeeeeeee....

nishamwacha, asije akantemea mayai viza wakati dikshenari kuna dogo kaazima. Lol.
 
rose huyu mtu leo kanywea utafikiri kamwagiwa maji ya baridi. Mmh, hebu ongea nae chemba kama vp tumpeleke bichi kimba akaoge maji ya bahari atoe toe vinux.

Nataka kwenda bichi kidimbwi bana…hebu kodi bajaji hapo fasta fasta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom