Majina ya kizaramo bana


Hapo kwenye nyekundu Hofstede umegawa marks kwa upendeleo, Hakuna TZ hii wanaopenda kuoa wake zaidi ya mmoja kama Mkoa wa MARA na kama mwanaume ana mke mmoja basi hajatimia na katika vikao vya wanaume yeye ataambiwa akae mlangoni. Tupe marks zetu bana, hata hili unawapa wa kwenu? acha izo bana!
 
Massawe, Kimaro, Kimathi, Mrema, Maro, Meku, Ndesambulo, Kimei, Mtei, Lyakurwa........................ hivi yana maana gani haya majina? maana ya kizaramo tunayaelewa kwa sababu yanatamkwa kwa kiswahili.
 
Thatcher
Townsend
Southgate
Winterburn
Stockwood
Weatherbee
Smalling
Woodgate
Bush
 
.............nimecheka saaana,............na kujiuliza maswali mengi,......ikiwa pamoja na kwa nini iwe kwa nguruwe?,................muangalie nguruwe kwa karibu sana,......jinsi alivyo pua yake,.....rangi yake...............?????

Ni bora majina ya kizaramo kuliko jina kama hilli, eti "Mwakitobo"
 
Si bora sie wazaramo...
Kuna wale wa songea akina''komba'' wanaoitana majina ya wanyama kumwita mtoto nguruw* ni kawaida atiii,
 
Je yaki Zenji! Utakuta mchamba wima, bibi nyau, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…