Hata mimi yamenivutia@Preta
@Nifah
@rubii
@masai dada
@miss chagga
@EVALYNE salt
@Apologise lady
Nb: Hiyo list ni kwa mujibu wa halmashauri ya ubongo wangu, kama haitokupendeza tafadhali usilete mate.
#happy_new_year
Aminaasante mpendwa, amani itawale..
@Preta
@Nifah
@rubii
@masai dada
@miss chagga
@EVELYNE salt
@Apologise lady
Nb: Hiyo list ni kwa mujibu wa halmashauri ya ubongo wangu, kama haitokupendeza tafadhali usilete mate.
#happy_new_year
Mbona faizafox hayupo
Nawe pia mpendwa , kwa kudra za M/MUNGU tumeuona..
mkuu sasa mbona majina yote hayo ni ya mtu mmoja tu?
Hata kama ni mtu mmoja haina shida kwani nime orodhesha majina ya kike tu , na si uhalisi wa muhusika ..mkuu sasa mbona majina yote hayo ni ya mtu mmoja tu? tena ni ya huyo namba mbili. kheri yangu mimi mwenye id yangu hii hii tu moja na naipenda mno na sana.
Nawe pia happy new yearwanastahili..
#happy_new_year