Kijana,
Mengine niliandika jana kama Mwilwa, Nyome, Nyanso, Kakuwa, (Matinde na siyo Mantinde), Nsimbo, Mwamvula, nk.
Vapanga wee Mgosya? Ndinakwandikila PM lakini selesele. Vagisye kwenuko.
Nyamizi hata humu JF tuna dada yetu anaitwa hivyo. Ajabu ni kuwa hilo ni jina lake haswaaa.