Siyo kweli. Yamwisho no yangu kwa sasa japo sikwamuda woteTrust me comment yangu ndio ya mwisho kwenye thread yako
Tulia wewe mvuvi na yako pia sio ya mwisho hata kwa muda huuSiyo kweli. Yamwisho no yangu kwa sasa japo sikwamuda wote
NinapingaTrust me comment yangu ndio ya mwisho kwenye thread yako
Aisee Ni hatari Sana Miminimkulimaachekasana(huku Ni kujitesa)Otorong'ong'o
miminimkulimaakachekasana
Hayo ndo majina sasa huyu wa mwisho anapata tabu sana ku log in Hilo sio jina ni maelezo...[emoji23]
QuinineNi muda mrefu nimekuwa nikifuatilia baadhi ya majina ya humu ndani.
Kusema ukweli Kuna baadhi yanafikilisha Sana na wkt mwingine hata kabla ya kusoma Ni nini mhusika kapost utabaki unacheka au pengine kutaka kujua leo kaja Ni lipi.(Japo majina mengine Ni ya kawaida na wao Wana Mikasa yao mfano Mshana Jr.,)
itapendeza wakija na majibu walimaanisha Nini kujipa majina hayo au Ni majina tu bila sababu??
Mimi nianze na haya na Kama na wewe una jina jingine linalokukusa limwage hapo chini na mbali na Jin unavutika Nini na huyo mhusika kwa Mambo yake
1.Kidukulilo
2.Magonjwa mtambuka
3.Macho pya Kindi
4.Kaka Jambazi
5.Bia yetu
,6.Miss natafuta
7.?Mbalimbababonahi
8.Nawatafuna
9.Katumba songwe
Let have fun dears....
Mwagika mengine yenye kufurahisha
Huyo balibabambonahi ni kihaya kwa kiswahili akimaanisha kamwe hatoonekanaNi muda mrefu nimekuwa nikifuatilia baadhi ya majina ya humu ndani.
Kusema ukweli Kuna baadhi yanafikilisha Sana na wkt mwingine hata kabla ya kusoma Ni nini mhusika kapost utabaki unacheka au pengine kutaka kujua leo kaja Ni lipi.(Japo majina mengine Ni ya kawaida na wao Wana Mikasa yao mfano Mshana Jr.,)
itapendeza wakija na majibu walimaanisha Nini kujipa majina hayo au Ni majina tu bila sababu??
Mimi nianze na haya na Kama na wewe una jina jingine linalokukusa limwage hapo chini na mbali na Jin unavutika Nini na huyo mhusika kwa Mambo yake
1.Kidukulilo
2.Magonjwa mtambuka
3.Macho pya Kindi
4.Kaka Jambazi
5.Bia yetu
,6.Miss natafuta
7.?Mbalimbababonahi
8.Nawatafuna
9.Katumba songwe
Let have fun dears....
Mwagika mengine yenye kufurahisha
Kwamba vituko ifanyavyo maiti pale kaburini ni kwa sababu yatakuja kuonekana mahali popote tena.Mnamuita haitiki wala hajibu,nyie Ni kumbeba tuHuyo balibabambonahi ni kihaya kwa kiswahili akimaanisha kamwe hatoonekana